Zijue njia rahisi za kumfikisha kileleni mke wako

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Wanaume wengi wamekuwa na wasiwasi na mashaka juu ya wapenzi wao kuhusu suala zima la kufika kileleni wakati wa mapenzi.

Leo kwa ufupi kabisa nakuletea njia 4 nyepesi kabisa ambazo ukizitekeleza hizo katika shughuli yako Basi Ni lazima mtoto afike kileleni zaidi ya Mara 3 na mwenyewe utajiona kuwa kweli ni mwanaume wa mbegu Kama sio kidume haswaa.

ANGALIZO
Usitumie njia hizi kama mwanamke unae date nae humpendi. Maana atakuganda Kama ruba na itakuwa kero kwako.

1. Hakikisha huna / hana stress wala msongo wa mawazo kabla ya kukutana.

2. Sehemu ambayo mnakutana kwa ajili ya kubinjuana lazima iwe Safi na inanukia harufu nzuuuuuri.

3. Andaaneni haswaaa bila ya woga, mnyonyaji anyonywe na mnyonywaji anyonyeke haswaaa.... Mshikaji ashike na mshikwaji ashikike haswaaaaa.. Kunaneni kwa ushirikiano kama matairi ya gari yanavozunguka kwa pamoja.

4. Hakikisha mezani Kuna kibunda kizuuuri Cha pesa, Kama vipi unaweza kumpa kabisa manzi huyo na kumkabidhi aziweke kwenye mkoba ama handbag yake kwa ajili ya matuminzi yake. Hakika hapo atakojoa mpaka damu.

Nimemaliza.
 
Mzee kwa wanawake ni ngumu si kila mwanamke anafuata hizo mambo ww mtosheleze wa kwako wengine hata mkienda peponi hakuelewi bila pesa.
 
Huwanajiuliza hivi na matajiri huwa wanawaza mambo ya kufikishana kileleni???
Damicon, Jibu ni hapana, hata mleta mada anaongelea nadharia tu, maskini na stress ni sawa na chanda na pete, haya maisha ni magumu unapeleka wapi stress?

Mke wa tajiri anaweza kujipa mwenyewe relaxation, haihitaji kuandaliwa bali anajiandaa mwenyewe, kufika kileleni ni hisia, hakuna namna yeyote mwanamke anaweza kuwa na hisia na mwanamme maskini, ukiwa na good life hata ukilala tu mwanamke anafika kileleni mwenyewe, mleta mada anasema uandae pesa na uiweke mezani !, huna pesa utaweka nini mezani?

Mshukuru Mungu ukiweza kupata watoto kwani kumfikisha mwanamke kileleni sio jambo la mchezo, unaweza kuishi na mwanamke miaka 10 na asiwe na hisia na wewe.
 
Binafsi huwa nagongea nyundo pahala popote panaporuhusu faragha yani ilimradi tu tusionekane alafu sitoagi pesa kabla na baada ya tukio labda tu huduma muhimu akihitaji nazingine najiongeza tu mwenyewe lakini nikianza kupiga mzigo huwaga sishuki mpaka nione anatetemeka na makelele yakutosha...

Atakama tutaenda kwa siku nzima sawa lakini sishuki ng'o mpaka nihakikishe kafika kibo... this is my all days principal nahaijawahi kuniangusha kwamwanamke yeyote lazima amwage.
 
Njia rahisi na ya haraka ya kufika kileleni mwa mlima Everest kwa mwanamke
  • Tumia njia au staili ya kifo chamende
  • Bana miguu
  • Mzee wa boma, aweke tango lake na kufanya kazi yake( kwenda juu chini, kulia kushoto) huku ukiwa umebana miguu
  • Dakika tano ni nyingi, maji ya bomba yatamwagika
 
Back
Top Bottom