Zijue njia kuu wanazotumia CCM kubaki madarakani

Kufunga ofisi ya uteuzi wa wagombea na kuwateka wagombea wakiwa njiani kurejesha form, kuwavamia majumbani mwao na kuwajeruhi - kifupi CCM wana kila sifa ya Ugaidi.
Tuziombe nchi wahisani wakitambue rasmi Ccm kama kikundi cha kigaidi au sio ?
 
kkkkkk avatar nini bwana. Watu wanaweka hata za jiwe na njaa kaya itakuwa gwanda. Hata Kenya CCM ipo inaitwa chama cha mashinani

mbna unaongea sasa dada yangu, kuna mwanachama wa chama cha mashinani unamuona apo kwenye avatar
 
mbna unaongea sasa dada yangu, kuna mwanachama wa chama cha mashinani unamuona apo kwenye avatar
Dada acha kiranga. Mie baba yako. Lugha yako ya makasiriko inatumika Kenya. Au ni wale wakenya wa mipakani wanaokimbia dhiki kwenu kuja kufaidi Tz?
 
Back
Top Bottom