Zijue njama 638 za mauaji alizoepuka Fidel Castro

demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
5,121
Likes
9,911
Points
280
demigod

demigod

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
5,121 9,911 280
Tangu jamaa adanje nimesikia sana watu waki support hii theory kuwa Jamaa ameepuka njama 638 za Mauaji.....

Inaonekana waliotaka kumuua hawakuwa sana serious na kazi ya Mauaji.....

Haiwezekani Osama aweze kuuawa alafu huyu ashindikane...

Mambo mengine haya click kabisa akilini.
 
Naisujaki Lekangai

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,347
Likes
1,336
Points
280
Naisujaki Lekangai

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,347 1,336 280
Huyu mtu sijasikia popote kuhusu familia yake. Ni kwamba hana mke wala watoto?
 
Mhandisi Mzalendo

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Messages
3,872
Likes
3,236
Points
280
Mhandisi Mzalendo

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2010
3,872 3,236 280
Tangu jamaa adanje nimesikia sana watu waki support hii theory kuwa Jamaa ameepuka njama 638 za Mauaji.....

Inaonekana waliotaka kumuua hawakuwa sana serious na kazi ya Mauaji.....

Haiwezekani Osama aweze kuuawa alafu huyu ashindikane...

Mambo mengine haya click kabisa akilini.
Huwezi kumuua kizembe!! Haikuhitaji kuacha hata nukta ya ushahidi kuwa kauawa maana chini cuba na marekani ni mdomo na pua... Kombora la kitoto linafika washngton from cuba... Ilikua ni hatari zaidi
 
Nelly Mtengwa

Nelly Mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Messages
377
Likes
403
Points
80
Nelly Mtengwa

Nelly Mtengwa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2016
377 403 80
Tangu jamaa adanje nimesikia sana watu waki support hii theory kuwa Jamaa ameepuka njama 638 za Mauaji.....

Inaonekana waliotaka kumuua hawakuwa sana serious na kazi ya Mauaji.....

Haiwezekani Osama aweze kuuawa alafu huyu ashindikane...

Mambo mengine haya click kabisa akilini.
Nonsense!!
Nirahisi sana kumuua mtu anaejificha kwa kukuogopa kuliko Raisi wa nchi asiyekuogopa!!
 
MPHINGU

MPHINGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
469
Likes
490
Points
80
MPHINGU

MPHINGU

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
469 490 80
Inawezekana kutokana kila jambo binadamu analo libanga, kufanikiwa kwake kunatokana na mungu, na hata Osama naye, inawezekana kafanyiwa majaribiyo mengi ya kumuua, lakini moja ndio lililo fanikiwa
 
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,638
Likes
1,144
Points
280
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,638 1,144 280
Tangu jamaa adanje nimesikia sana watu waki support hii theory kuwa Jamaa ameepuka njama 638 za Mauaji.....

Inaonekana waliotaka kumuua hawakuwa sana serious na kazi ya Mauaji.....

Haiwezekani Osama aweze kuuawa alafu huyu ashindikane...

Mambo mengine haya click kabisa akilini.
Mkuu mimi nimeshangwa na Signature yako hiyo, kweli jamiiforum kiboko
 
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Messages
6,899
Likes
1,670
Points
280
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2011
6,899 1,670 280
Tangu jamaa adanje nimesikia sana watu waki support hii theory kuwa Jamaa ameepuka njama 638 za Mauaji.....

Inaonekana waliotaka kumuua hawakuwa sana serious na kazi ya Mauaji.....

Haiwezekani Osama aweze kuuawa alafu huyu ashindikane...

Mambo mengine haya click kabisa akilini.
Do u blv Osama kafa?
 
Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,437