Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Ubalozi wa kama Djibouti, madagascar (kwa maana ya visiwa wanatumia nn?), maana naamini sio CD
 
Zile za Blue Zote ni mashirika yalio chini ya Umoja wa Mataifa kwa mfano Unicef Unhcr Wfp
Kwa mfano T205 CD** ni UNHCR
Mkuu hapo kwny buluu sio kweli!mfano magari ya ESAMI yana plate no. ya buluu lkn sio ya UN
 
DFP-A ipo nayo , humanisha nini? au nini kirefu chake hasa hiyo A
Mara nyingi namba huishia 999 hivyo DFP ilipomaliza 999 imebidi ianze na herufi A,
Mfano DFP 999,inaanza upya DFP-A 111 mpaka ikimaliza itakuja DFP-B 111 hadi ifike DFP-Z 999 wataona wafanyeje huenda ikaja DFP- AA 111
 
Plate namba za kijani balozi za kawaida za blue ni balozi wanaowakilisha mashirika ya UN na organ zake.
Hizo za UN za blue sio mabalozi tu wanaowakilisha mashirika ya UN Arusha hata kama unafagia kwenye majengo ya UN platenumber zako zitakua blue.


 
Back
Top Bottom