Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Vipi kuhusu RAC ?
Hizo ni namba za magari ya Tanzania Railway Corporation. Sijui siku izi inaitwa TRL!! So RAC stands for Railway Corporation.
Vipi kuhusu RAC ?
SU=Soma Ule.
Unajua enzi zile kwenye mashirika ndio kulikua na wasomi wenye kujifaidisha na mshiko mwingi kuliko sehem zingine.
SU=Soma Ule.
Unajua enzi zile kwenye mashirika ndio kulikua na wasomi wenye kujifaidisha na mshiko mwingi kuliko sehem zingine.
Su = shirika la umma
sm = serikali za mitaa
stg, stj, stk = serikali ya tanzania. Hizo herufi za mwisho yaani g,j na k. Hubadilika kila baada ya miaka 10. So utaona baada ya miaka 10 ya kutumia stk, magari yatakayofuata yatakuwa STL

Wakuu naomba mnijuze hizi pleti number su, sm,stj,stk, zina maanisha nini?
Su = shirika la umma
sm = serikali za mitaa
stg, stj, stk = serikali ya tanzania. Hizo herufi za mwisho yaani g,j na k. Hubadilika kila baada ya miaka 10. So utaona baada ya miaka 10 ya kutumia stk, magari yatakayofuata yatakuwa STL
Many thanks Polisi kwa kunifahamisha. I really wondered what they meant. Sasa ishu ingine ni kwamba SU naona yanatumika sana kwa hospitali za umma kwenye vitengo vyake na vyuo vya umma. Sasa STG,/J, K yako yanatumika wapi haswa haswa?
Kamuulize mwalimu wako wa chekechea,this is not for JF..
Kamuulize mwalimu wako wa chekechea,this is not for JF..
SU ni kwa ajili ya Mashirika ya Umma, yaani yale yanayoratibu shughuli zake yenyewe mf. Vyuo vya serikali, hospitali, TTCL, TANESCO n.k. ST ni kwa taasisi zilizo chini ya serikali moja kwa moja, Wizara, shule za serikali, tume, wakala mbalimbali wa serikali mf. TANROADS n.k
hii post imeshawahi kuletwa hapa.....pleti namba zote zipo hapa.
https://www.jamiiforums.com/habari-...6-kuhusu-leseni-licence-plates-za-magari.html
Sina uhakika kuhusu SSM, ila mi nimeona SM ambayo maana yake ni Serikali za Mitaa (nadhani)
Acha gubu broda, kwa style hiyo kila kitu kina maspecialist wake, kama unajua changia, hujui kausha. Usiwe kama Ephr*** Kibo*** , kutaka kuchangia kila ukisikiacho.