Zijue Mila za wanawake wa ki Congo za kuvutia wanaume

Peleka Chit Chat ndio inafaa zaidi, na hiyo ni Congo DR, Congo Republic au kijijini kwenu?


Wewe utakuwa mcongo wewe,huwezi kutokwa povu bure. Usikimbie tamaduni zenu. Hio ni identity yako. Na hii tamaduni nasikia imeenea mpaka sehemu za Zambia
 
No research no right to tell...

Kwa wale waliofika Congo na wadadisi wa mambo watakubaliana na mimi kuwa wanawake wanaotunza itikadi na mila za ki Congo, huwa wakioga hawaoshi baiolojia zao ili zitoe harufu ya mvuto kwa wanaume wakati wa kujamiana.

Nilishtuka kusikia aina hii ya mila lakini nilivyoulizia kwa baadhi ya wanaume walisema hio hali ya kutokuoshwa kwa mashine ndio kunakowapa hashikiki na hamu ya kujamiiana muda mrefu na wapenzi wao.

Najua kuwa wajua na ungependa kujua zaidi.

Wewe si watu wangekuwa wananuka kama sawage
 
No research no right to tell...

Kwa wale waliofika Congo na wadadisi wa mambo watakubaliana na mimi kuwa wanawake wanaotunza itikadi na mila za ki Congo, huwa wakioga hawaoshi baiolojia zao ili zitoe harufu ya mvuto kwa wanaume wakati wa kujamiana.

Nilishtuka kusikia aina hii ya mila lakini nilivyoulizia kwa baadhi ya wanaume walisema hio hali ya kutokuoshwa kwa mashine ndio kunakowapa hashikiki na hamu ya kujamiiana muda mrefu na wapenzi wao.

Najua kuwa wajua na ungependa kujua zaidi.

Mkuu Hii Si kweli hata Kidogo...Nawala,nalala Nao,Nafanya Nao Kazi Sijawahi sikia halufu wala kikutana na mwanamke wa kicongo ambaye hajaosha reception yake kwa kweli.....Nachofahamu ambacho ni different na usemacho ni kwamba kuoga kwa mwanamke ni mara moja kwa siku sijui kwa vigezo gani lakini si wakioga basi hawasafishi reception zao...Hiyo Congo uliyopo ni wapi?

Tusiwapoteze watu....katika hili....
 
Niko Congo wiki ya pili sasa kikazi. Tunataka kufungua branch huku. Ndio nimekumbana na hio kitu nikaona nishee nanyi sio mchezo

Kwa hivyo wewe ushafanya research ama watuhangaisha na maneno ya NIMESIKIA????????
 
Hata mimi nikisikia K inatoa toa harufu ya keki huwa na enjoy sana :biggrin:
 
Hii niliipata Bukoba pia; unaosha juu juu tu ile scent ya huko yasemekana ni mvuto kwa wanaume.
 
Utakuwa unafaidi sana Nguli...

Mimi niliwahi kupata wanyarwanda wanaotoka Congo...

Hawa watu ni professional kwa ngono, sio kama Mademu wa Bongo...Mapenzi=0%, Pesa=99%
hao wabongo wanaotanguliza pesa maybe ulienda kisharobaro unategemea nini kinafuata:yawn::yawn:
 
Kwa vile daladala za huku hazijahi kama za mbagala mtu ungeshuka njiani. Unapishana na mtu utazanishia wamecheuwa vyoo maeneo ya uswahilini kwetu

kwa hiyo umethibitisha au unasimuliwa hadithi za alfu lela ulela ndo unatuletea humu
 
Mmh!! Sidhani Kama kweli nguli ebu fanya uchunguzi tena Loh, hiyo kitu nilazima maji yapite am sivyo utamtapisha mwenzio na wewe mwenyewe pia utanuka Kama nguru.....
 
dah kumbe na TZ ipo hiyo?
sasa jamaa akienda chumvini si ndo anatafuta toothpik kabisa?
Tatizo hayo mambo ya chumvini tumeyaiga kwa wazungu. Mimi niliwahi kaa Kigoma mwaka mmoja, hii kitu nilishawahi isikia. Labda tumuuliza mwanzisha thread kwa kuwa yuko huko je akisikisia hako kaharufu kitu kinaenda winger?.
 
mbona ukienda congo unaambiwa ndio tabia za wana wake wa South Africa?
 
Hawaoshi au hawasafishi? Labda hawasafishi ila kuosha watakuwa wanaosha.
 
Back
Top Bottom