Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Heritage Oil ni kampuni ya utafiti na uzalishaji wa mafuta na gesi iliyoorodheshwa katika masoko ya hisa ya Toronto, Canada na London, Uingereza. Kampuni hiyo inamiliki vitega uchumi vya uzalishaji nchini Urusi, miradi ya uzalishaji katika eneo la Kurdistan la Iraq, Jamhuri ya Congo, Malta, Pakistan, Tanzania, Mali, Papua New Guinea na pia uwekezaji nchini Libya.
Kwa habari zaidi kuhusu kampuni hii, soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania – Heritage Oil | Fikra Pevu