Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (17) – Beach Energy

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Beach Energy_550x300_550x300.jpg

BEACH Energy Limited ni kampuni ya utafiti na uzalishaji wa mafuta na gesi asilia yenye makao yake makuu mjini Adelaide, Australia ambayo imewekeza sehemu mbalimbali ikiwemo Tanzania.

Kampuni hiyo ilianzishwa rasmi mwaka 1961 wakati huo ikijulikana kama Beach Petroleum, ambapo ilianzishwa na Dk. Reg Sprigg, mwanajiolojia, mtaalamu wa mafuta, mtafiti na mtunza mazingira. Ilisajiliwa kwenye Soko la Usalama la Australia (ASX) mwaka 1962.

Kabla ya kuanzisha kampuni ya Beach, Dk. Sprigg alikuwa mshauri wa ufundi wa kampuni ya Santos Limited, ambayo sasa ni mojawapo ya kampuni kubwa za mafuta na gesi nchini Austraia. Dk. Sprigg alikuwa...

Kwa habari zaidi, soma hapa=> Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (17) – Beach Energy | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom