Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (16) – Motherland Industries

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Ngeleja na V.K. Sood.JPG

Waziri wa Nishati na Madini (wakati huo) William Ngeleja pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Motherlanda Indusrties Limited kutoka india Virendra Kumar Sood wakisaini mkataba wa uzalishaji wa pamoja (PSA) kwa ajili ya eneo la Bonde la Mto Malagarasi Januari 24, 2012.

KAMPUNI ya Motherland Industries Limited ilianzishwa Januari 22, 1996 nchini India ikiwa ni kampuni ya familia, kwani karibu maofisa wote wa juu wana nasaba. Wakurugenzi ambao mpaka sasa wanaiongoza kampuni hiyo ni Vikram Sood, Virendra Kumar Sood, Jaideep Vikram Sood na Suresh Babu Kandoth.

Kwa habari zaidi, soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (16) – Motherland Industries | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom