Zijue kampuni za Kimataifa za kutengeneza simu za mkononi na NCHI zinazozimiliki

Kuna mda nilitaka niagize iyo s8 nikagairi jamaa yangu akaagza m9 iyo ndio nikaona hapa ningepgwa labda s8 ipo tofaut na hata bei azikua izo zimepanda saizView attachment 1742011View attachment 1742010

Simu zao ziko poa. Na wanauza bei reasonable kulinganisha na tecno na infinix. Simu ya leagoo yenye specs sawa na tecno au infinix, wao wanauza bei ya chini kuliko hao wengine.
 
Philips Savy
Siemens
Sony Ericson
Fiat
LAYLAND
Panasonic
National

Ni nchi gani hizo zilikuwa

Hivi Japan hana kampuni ya simu yeye ni Motokaa tu na Meli?!
Fujitsu (including Toshiba)
Kyocera.
NEC-Casio (NEC/Casio/
Hitachi)
Panasonic.
Sharp.
Sony.
NTT Docomo.


Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom