Zijue kampuni za Kimataifa za kutengeneza simu za mkononi na NCHI zinazozimiliki

Philips Savy
Siemens
Sony Ericson
Fiat
LAYLAND
Panasonic
National

Ni nchi gani hizo zilikuwa

Hivi Japan hana kampuni ya simu yeye ni Motokaa tu na Meli?!

Sony na Ercisson ni kampuni mbili tofauti

walifanya Collable ndio wakatoa Sony ericsson but they no longer

Hii bi like Mercedes Benz
 
Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki.
1. Samsung-Korea Kusini
2. Tecno-China
3. Huawei-China
4. Lenovo-Hongkong
5. Nokia-Finland
6. Blackberry-Canada

Tupieni nyingine
Hivi Tanzania ilisema itajenga kiwanda cha simu mwanza, hizo simu zinaitwaje?
 
Xiaomi ni kampuni subsidiary ni MI, Redmi, poco, black shark etc. Realme ni ya OPPO.
Blackshark kumbe ilishafanywa iwe independent. Ina units chache sana huwa naiona bado kama series ya simu kama S au Note za Samsung.
 
Energizer ---- US

images (26).jpeg
 
Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki.
1. Samsung-Korea Kusini
2. Tecno-China
3. Huawei-China
4. Lenovo-Hongkong
5. Nokia-Finland
6. Blackberry-Canada

Tupieni nyingine
Raisi wa hongkong ni nani vile!
 
China ndio inayoongoza kumiliki na kuzalisha simu nyingi.
ITEL
Oking
QQ
NOKLA
SQNY
TEENO
TECNO
INFINIX
OPPO
LEAGOO
X-TIGI
FERO
BLACKDERRY
VIWA
BLACKVIEW

Itaendelea.....
Kuna muda nilitaka niagize hii LEAGOO kutoka Ali express ningepigwa Mara 10 tecno
 
Back
Top Bottom