FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Sony. One of the best mobile phone brands in the market!Hivi Japan hana kampuni ya simu yeye ni Motokaa tu na Meli?
Sony. One of the best mobile phone brands in the market!Hivi Japan hana kampuni ya simu yeye ni Motokaa tu na Meli?
Mwanza matelephoneHivi Tanzania ilisema itajenga kiwanda cha simu mwanza, hizo simu zinaitwaje?
Kuna mda nilitaka niagize iyo s8 nikagairi jamaa yangu akaagza m9 iyo ndio nikaona hapa ningepgwa labda s8 ipo tofaut na hata bei azikua izo zimepanda saizView attachment 1742011View attachment 1742010
Hahahahah noma kweliMwanza matelephone
Wachina kibokoChina ndio inayoongoza kumiliki na kuzalisha simu nyingi.
ITEL
Oking
NOKLA
SQNY
TEENO
TECNO
INFINIX
OPPO
LEAGOO
X-TIGI
FERO
BLACKDERRY
VIWA
BLACKVIEW
Itaendelea.....
Mwanzatel, Nyanzatel,Hivi Tanzania ilisema itajenga kiwanda cha simu mwanza, hizo simu zinaitwaje?
ChatotelHivi Tanzania ilisema itajenga kiwanda cha simu mwanza, hizo simu zinaitwaje?
Noma kweliChatotel
Hong Kong Telecomunication CompanyMmmh HTC ni marekani mkuu
Fujitsu (including Toshiba)Philips Savy
Siemens
Sony Ericson
Fiat
LAYLAND
Panasonic
National
Ni nchi gani hizo zilikuwa
Hivi Japan hana kampuni ya simu yeye ni Motokaa tu na Meli?!