Zijue kampuni 3 pekee Ulimwenguni zinazo zalisha Broiler Wazazi

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,486
8,704
BROILER PARENTS STOCK

Mpaka sasa Ulimwenguni kote kuna kampuni 3 pekee zinazo zalisha parents stock wa Broiler hizi kampuni zina breeds tofauto tofauti za Broiler.

1. Aviagen
Hawa wanazalisha Ross, Arbor Acres, Indian River na Peterson brands

2. Cobb-Vantress
Hawa wanazanlisha Cobb, Avian, Sasso na Hybro brands.

3. Groupe Grimaud
Hawa wana Hubbard na Grimaud Frere brands

Kwa hiyo kama unafuga Broiler tambua kwamba ziko kati ya hizo hapo breeds na kampuni hizi ziko 3 tu ndo zinatawala Dunia.

Kumiliki Parents stock sio swala la kitoto linahitaji uwekezaji ulio enda shule hasa kwenye Utafiti.

Hivyo kwa kampuni zilizoko bongo zina kati ya hizo breeds za Broiler.
 
Ufugaji wa kuku unahitaji umakini sana na sio masihhala
 
Back
Top Bottom