Zijue hotuba zilizowapa watu uraisi : Obama na Kiwete

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,489
51,070
1. Hotuba ya kwanza ni ya Obama mwaka 2004 akiwa ni "kijana" mdogo tu wa miaka 40, aliyoitoa katika mkutano mkuu wa Democrats (Democrats convention) kumpitisha Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Democrats John Kerry. Obama aliwakong'a nyoyo wana Democrats kutokana na kutoa hotuba kali sana siku hiyo, "nyota" yake ikang'aa sana na kuanzia palepale kuna watu wakamtabiria makubwa. Na kweli miaka minne baadae akaingia kwenye kinya'ang'anyiro na kuukwaa uraisi mwaka 2008.
Hotuba hiyo ya Obama hii hapa chini:

2. Hotuba ya pili ni ya Jakaya Kikwete aliyoitoa mwaka 1995 kwenye mkutan mkuu wa CCM akikubali kushindwa na Benjamin William Mkapa, kwenye hotuba hiyo Kikwete anakubali kushindwa, na anaitaka timu yake ya kampeni ikubali kushindwa kwake na sasa imuunge mkono Mkapa. kutokana na Uungwana ambao Kikwete alionyesha, Baba wa Taifa alisimama na kumpigia makofi mengi sana Kikwete, Pia alipomaliza kutoa hotuba hiyo hayati Mkapa alimfuata na kumkumbatia Kikwete. Naamini, Uungwana wa Kikwete ulimfanya Mkapa ampende na kumgroom kuja kuwa mrithi wake, na pia JK alipata baraka na radhi za Mwalimu Nyerere kutokana na kitendo hicho cha uungwana. Hata ilipokuja kwenye wakati wa kumrithi Mkapa, Mkapa hakumuwekea mtima nyongo Kikwete bali alimpa sapoti

Hotuba ya Kikwete siku hiyo ni hii hapa chini:

View attachment 1559873

Kikwete ni mzungu wa roho sana aisee.

Hatuongelei mapungufu hapa,mzee kikwete alipewa roho yya utaratibu na kutokuwa na vinyongo.

Amekosa mafasi adhim kama hiyo lakini roho yake ilikuwa na tabasamu ambalo sio la kuigizika.

Ni tabasamu litokalo moyoni kabisa.

Kwa hili Mungu yuko vzuri
 
Ana nyota ya uongozi tangu akiwa kijana
 
Back
Top Bottom