Zijue fursa za uwekezaji kutoka mkoani Tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zijue fursa za uwekezaji kutoka mkoani Tabora

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by hbi, Mar 13, 2012.

 1. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  wkati mwingine nivizuri ukaweka hapa japo kwa muhtasari; hizi linked page wakati mwingine tabu kufunguka
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Napapenda Tabora sana..

  Vipi kuhusu mzunguko wa pesa..

  fursa bila mzunguko wa pesa (i.e. watu wanapenda kununua vitu)

  Maana nilienda Mbulu (kwa kina slaa) aisee hakuna mzunguko wa pesa, halafu watu hawanunui kabisa bidhaa..

  Yaani mtu anaweza kuvaa shati na suruali moja mwaka mzima...

  Pale hapatafaa kwa biashara hadi wabadili altitude..vipi tabora?
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona unaleta siasa huku, Hapa si eneo la siasa, na nashangaa ni kwa nini usitumie jukwaa husika, By the way kwani kila biashra ni lazima mzunguko wa pesa uwe mkubwa?

  Wale wazungu walio fungua mgodi wa Zahabu kule nzega waliona pana mzunguko wa pesa ndo wakafungua?

  - Tatizo tunaota biashara za uchuuzi tu, na tunaamini biashara za uchuuzi ndo biashara, Hata mbulu furusa za kibiashara ni kubwa sana na usikalie biashara za kuuza simu za kichina na redio
   
 5. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka kulinganisha Mkoa wa tabora na Wilaya ya mbulu????????. Labda tuseme may be mfumo kristo umewaathirri wiaya ya mbulu na kuwafaidisha mkoa tabora. Unasemaje kuhusu hilo..........???????

  Ukweli unabaki mzunguko wa pesa wilaya nyingi za tanzania ni mdogo. Hata hapo mkoani tabora nenda katika ngazi ya ya wilaya sawa na mbulu . Ajira pekee au wa kiasi kikubwa ni za serikali . kwa wilaya za mazingira ya jamii za wafugaji inakuwa ngumu zaidi.
  Nafuu ya mzunguko wa pesa utaikuta kwenye wilaya zenye machimbo au economic activities fulani. Mfano Wiaya za na mikoa mingine inayozunguka ziwa victoria kama mwanza sababu ya ziwa victoria Madini, kiimo cha pamba wenyeji mapaka wailayani wana option nying sana za kipato.

  Sasa huwezi kulinganisha kipato na mzunguko wa fedha wilayani sengerema au geita na wilaya fulani za singida amabayo may be zaidi ya kilimo cha karanga na fod crop source nyingine kubwa ya fedha ni Ni gari moshi linapopita. Anyway ukiamua kulinganisha na kuwa fair.
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  mkuu mjasirimali akiamua kuwekeza haangalii mambo mnayo sema hapa, kule singida kwa sasa wanawekeza katika umeme wa upepo je kuna mzunguko wa pesa maeneo yale?

  Hapa mtakuwa mnazungumzia biashara za uchuuzi kwenda kuuza simu, redio, nguo, nakazalika, lakini unapo zungumzia furusa za uwekezaji ziko nyingi sana hata huko mbulu, kuna vitunguu swaumu vinalimwa sana kule mbulu,

  - kwa tabora unaweza wekeza katika kuprocess asali na kupaki na kuiuza ndani na nje ya tanzania,
   
Loading...