daydreamerTZ

Senior Member
Sep 26, 2020
118
189
Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma zitolewazo

1. Kusajili kampuni
2. Kusajili jina la biashara
3. Kuandaa memorandum and article of association
4. upatinaji wa leseni
5. Makadirio ya Kodi
6. Kuandaa business plan


Kwa mawasiliano zaidi
Piga 0629706263
wa.me/0629706263


Kuuliza ni bure kabisa
 
Uzoefu, sio udhoefu

Muhuri, sio muhuli

Ni mkombozii kwako, sio mkombozi Kwako

Kuanzia usajili hadi namna, sio kuanzia usajili Hadi namna...
--------------------------------------

Kama bado umri huo unaandika "udhoefu," na unachanganya herufi kubwa na ndogo basi ulikuwa mtoto uliyetelekezwa na kupuuzwa, neglected child.

Break the cycle, usipuuze wa kwako.
 
Uzoefu, sio udhoefu

Muhuri, sio muhuli

Ni mkombozii kwako, sio mkombozi Kwako

Kuanzia usajili hadi namna, sio kuanzia usajili Hadi namna...
--------------------------------------

Kama bado umri huo unaandika "udhoefu," na unachanganya herufi kubwa na ndogo basi ulikuwa mtoto uliyetelekezwa na kupuuzwa, neglected child.

Break the cycle, usipuuze wa kwako.
Boss Asante sana kwa mchango wako. Umekosoa kwa kujenga.
 
Kama ni ndiyo basi GAPO GROUP LIMITED ni mkombozii Kwako. Ni kampuni ya ndani ya nchi ambayo imesajiliwa kisheria na yenye uzoefu wa masuala yote ya biashara kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako...
Weka na bei kabisa, mambo ya Kuja mafichoni huko ndio chanzo cha kupigwa na vitu vizito kichwani.
 
1. Kusajili kampuni- Tsh 80,000/=
2. Kusajili jina la biashara- Tsh 10,000/=
3. Kuandaa memorandum and article of association- Tsh 50,000/=
4. Kupigiwa document muhuri wa mwanasheria- Tsh 30000/=
5. Makadirio ya Kodi- Tsh 30,000/=
6. Kuandaa business plan- Tsh 150,000/=
7. Kusimamia email marketing- Tsh 500,000/=
Hongera mkuu una gharama nzuri, ambazo mimi ama wengine hucharge hadi mara 6 ya hiyo yako. Keep on pushing mkuu, hongera sana.
 
Hapo kuna kitu sijaelewa kusajili jina la biashara ni 10000 au macho yangu maana gharama zenyewe za BRELA tu ni 20000 hebu nifafanulie hapo niwahi chap nikutumie detail zangu
 
Mkuu ina maana kusajili kampuni na kusajili jina la biashara ni vitu viwili tofauti??? Na je hiyo gharama ni tofauti na itakayotakiwa kulipwa brela
 
Back
Top Bottom