Zijue ajali kubwa zilizowahi kutokea Tanzania

Sasa kumbe akili unazo kwanini umekimbilia kuleta habari ya ndondo cup kwenye mjadala wa premier league
Ndo maana nakwambia we ni mjinga mjinga tu, Ajali za barabarani zimeua watu wengi kuliko ajali za anga na maji, na ukitaka usipate mchango tofauti kwenye hoja zako kaanzishe mada chumbani na kikongwe mwenzako wa zilipendwa usilete hapa jf kwenye kizaz Cha Fb unachokisema
Blaalfuul
 
Anzisha uzi wako wa majinja mkuu mbona easy,usiendelee kudhihirisha ujinga wako
 
Sianzishi hapahapa ndo mahali yake ukitaka nisilete Waambie mods wafute huu uzi ukaunzishie chumbani kwako
 
Wakati majinja imeangukiwa na contena ikauwa watu wengi enzi hizo ulikua hujazaliwa ni miongoni mwa ajali kubwa za barabarani
Ni moja ya ajali niliyoshuhudia live ilikua mbaya sana aisee, nilikua natoka mbeya naenda dar nipo kwenye rungwe express
 
Mleta uzi anasema hiyo ni ajali ndogo anaifananisha na ndondo cup ndo maana namuita mpuuzi
 
Sianzishi hapahapa ndo mahali yake ukitaka nisilete Waambie mods wafute huu uzi ukaunzishie chumbani kwako
Hahahaaa...yameisha mkuu.. tuendelee na mada. Sorry kama nimekukwaza
 
Mleta uzi anasema hiyo ni ajali ndogo anaifananisha na ndondo cup ndo maana namuita mpuuzi
Labda kwa sababu alisikia tu ila tuliokua eneo la tukio ni ajali ambayo haitoki kwenye akili zetu
 
Ina maana usingekuwa chobingo na ww ungeenda kuchota mafuta sio?
Ndioo maana yake...kuna binadamu asiependa cha bure.
Hapo nikasema leo umalaya umeokoa uhai wangu. Nothing is this world is 100% bad. Ata umalaya nao una faida zake
 
Back
Top Bottom