mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 885
Asante wanguHata ya kawaida inafaa
Asante wanguHata ya kawaida inafaa
Mkuu hiyo acness inauzwa bei na ikojeMi mwanaume ila hongera ni dawa na ni mafuta mazuri sana
Mi mwanaume ila hongera ni dawa na ni mafuta mazuri sana
huwa inaleta chunusi?Mimi ni katika wale wanaotumia maji na sabuni tu, uso ukiharibika ni katika harakati ya ile safari kwenda kulipia pango to the moon, ninaosha uso na sabuni na sipaki kitu chochote usiku.
Mimi ni katika wale wanaotumia maji na sabuni tu, uso ukiharibika ni katika harakati ya ile safari kwenda kulipia pango to the moon, ninaosha uso na sabuni na sipaki kitu chochote usiku.
ninaona niwashukuru wazaziWengine wana ngozi nzuri za kurithi toka kwa wazazi, lakini wengine utawaonea huruma aisee jinsi chunusi zinavyowaharibu nyuso zao. Yaani unakuta mtu mpaka anajichukia.
ninaona niwashukuru wazazi
Anachohitaji ni kuelekezwa wapi atapata wataalamu wa ngozi au hospitali inayo deal na mambo ya ngoziMkuu jaribu kuoga kwa sabuni vizuri kisha usipake mafuta kabisa pia punguza kula vyakula vya mafuta na pendelea kunywa maji mengi!
Ukiwa na Shida yoyote ileHabari kwenu Madaktari na Wataalam wa Magonjwa ya ngozi....Dermatologist.
Nimekuwa nikihangaika kwa muda sasa na chunusi (Acne) usoni na hata shingoni hadi kifuani. Nakumbuka kuwahi pata matibabu huko mikoani lakini hali ya mapele haijawahi kuisha...na kwa sasa kwa kuwa nimehamia Dar yapata 2 yrs, ningependa kulifuatilia hili suala kwa wataalam wabobezi wa magonjwa ya ngozi. Ngozi yangu inamafuta hivyo hata nisipooga usiku, asubuhi unakuta vipele vingi na tayari vina usaha kiasi. Na kwa joto la Dar, mara nyingi mapele yanakuja kwa kasi sana. Inaniumiza sana hali hii, ningependa kupata ufumbuzi wa tatizo hili.
Nachohitaji ni kuelekezwa wapi ntawapata watalaamu hawa ili wanisaidie. Ama hospitali gani ambayo inao wabobezi wa masuala ya ngozi. Asanteni sana.