Zifahamu njia tano za kulinda ndoto yako

Multdealer

JF-Expert Member
Oct 11, 2019
226
232
Kutoka kwa Mr Joel Nanauka.

MOSI: Kila siku fanya kitu kuhusiana na ndoto yako hata Kama ni kidogo.

PILI: Pata mtu wa kuongea nae kila wakati kuhusiana na ndoto yako, Mtu atakae kuwa anakuulizia juu ya maendeleo ya ndoto yako

TATU: Tengeneza tabia zinazo endana na ndoto yako, Kwa maana mtindo wako wa maisha uendane na ndoto yako/zako.

NNE: Pata muda wa kufikiria kuhusiana na ndoto yako/zako

TANO: Usijilinganishe na watu wengine, Bali jifunze tu kutoka kwao.


#Coronabadoipotujikinge.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom