Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,677
- 20,131
- Thread starter
- #41
😂 😂Tatizo wewe ni wa kupuliza mkuu😁😁😁😁 Mkuu basi Kama Ni hivyo then definition ya usafi Ni Pana Sana mkuu.
😂 😂Tatizo wewe ni wa kupuliza mkuu😁😁😁😁 Mkuu basi Kama Ni hivyo then definition ya usafi Ni Pana Sana mkuu.
DuuIla dar kila kitu wao wasiooga wao wachafu wao matatizo ya bawasiri wao nguvu za kiume wao inshort dar watuzalilisha Kama taifa
ccm inashika dolaNa kipaumbele chetu ni nn?
Mm nimeona tu kwenye tv ila jamaa wako vizuri kwanza hata barabara zao ziko vizuri wanakuambia huwezi kuona shimo kwenye lami maana wanazinjenga kwa hali ya juu.Bahati nzuri nchi zote hizo nimefika, mwandishi hajafika nyamirambo, kicukiro kule ndani na mitaa mingine ya ndani. Namibia kwangu ni safi kuliko zote hizo ikifuatiwa na Morocco. Rwanda haupaswi kuingia hata 3 bora.
Kweli kabisa utafikiri mamlaka za mipango miji hazipo!!!? Wananchi na wanasiasa wanachangia miji yetu kuwa michafu....Tanzania nazani inashika mkia si kwa wingi wa machinga na uchafu kwenye mabarabara hakuna green field za kutosha, kila sehemu mtu anaweza kufanya biashara.Tuendelee kupambana na wakina sabaya na gaidi mbowe.
Kuuwa vyama vya upinzaniNa kipaumbele chetu ni nn?
Unakaa gugulethu au khayelitsha umehama sana upo kwa coloured salt river au hannover park...Cape Town maeneo yao ya vivutio vya utalii hakuna kukabana utasikia tuu hapo Water Front nani atakukaba au uende kule juu bookap hivyo vitu vya ukabaji vipo mtaani tofauti na JHB ukabaji upo CBD..Cape town hii ninayoijua mimi simu ya kitochi unakabwa na bunduki mchana kweupee watu wanakupita ndo ivutie watu duniani
Sasa siku yakanyage huko water front road kwenye yale mablidge ndo utajua au hujui, na hata huko unakokusifia hakuna umbali wa hivyo kutoka hapo salt river so chafu zinaibuka huko hukoUnakaa gugulethu au khayelitsha umehama sana upo kwa coloured salt river au hannover park...Cape Town maeneo yao ya vivutio vya utalii hakuna kukabana utasikia tuu hapo Water Front nani atakukaba au uende kule juu bookap hivyo vitu vya ukabaji vipo mtaani tofauti na JHB ukabaji upo CBD..
Daima mbele nyuma mwiko ..Na kipaumbele chetu ni nn?
kwani wana sera moja na Yanga 🤣🤣Daima mbele nyuma mwiko ..
hao wazee wa kijani hawanaga tofauti ..kwani wana sera moja na Yanga
Mkuu ushafika hukoNamibia isingekuwepo kwenye kumi bora ningesema listi yako ya uongo.
Tena Namibia ilitakiwa iwemo kwenye tatu bora
Tatizo la Tanzania ni viongozi wa kisiasa.Hasa kipindi cha mwendazake ndo hali imekuwa mbaya zaidi kwani aliruhusu machinga kuweka biashara mahali popote wanapojisikia na hao ndo ajents wakubwa wa kuzalisha taka na kuzitupa mahali popote bila mamlaka kuwachukulia hatua.Miji inaonekana michafu kwa sababu hakuna utaratibu wa nini kifanyike wapi.Kila kitu kilitakiwa kiwe na sehemu yake.Mentality iliyojengeka ya machinga itakuwa ngumu kwa uongozi mwingine kurekebisha mambo.Kila awamu inayokuja itaogopa kwani umachinga imegeuka kuwa ni kete tya kisiasa.Hivyo Siasa inafanya watu wakubali kuishi mazingira machafu.Kweli kabisa utafikiri mamlaka za mipango miji hazipo!!!? Wananchi na wanasiasa wanachangia miji yetu kuwa michafu....
kama issue ya machinga!!???
Si kwamba wanazijenga kwa hali ya juu that much, ni nadra sana barabara nyingi za Kigali kuona kuna malori yakipita. Lakini pia usiitizame Kigali kwa muonekano wa center pekee, hali haiko hivyo ukiingia ndani kidogo.Mm nimeona tu kwenye tv ila jamaa wako vizuri kwanza hata barabara zao ziko vizuri wanakuambia huwezi kuona shimo kwenye lami maana wanazinjenga kwa hali ya juu.