Zifahamu faida zitakazopatikana kupitia Muswada wa mabadiliko ya Sheria ya vyama vya Siasa

-Msajili anaweza kumfuta uanachama mwanachama wa chama chochote muda wowote bila kuhojiwa na chombo chochote.
-Msajili wa vyama vya siasa, mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, msimamizi wa kituo cha kupigia kura wana kinga maalum ya kutokushitakiwa popote kwa jambo lolote watakalolifanya na kuathiri uchaguzi au chama chochote.
Hii inafaa kupingwa kwa nguvu zote
Nalog off
 
Zifuatazo ni baadhi ya faida kati ya nyingi ambazo zitapatikana kupitia Muswada wa mabadiliko ya Sheria za vyama vya Siasa endapo utapitishwa na kusainiwa kuwa Sheria kamili:

i) kuongeza uwajibikaji na uwazi katika uendeshaji wa vyama vya siasa kupitia kuruhusu msajili kuwa na access ya shughuli za vyama, hivyo kupunguza vitendo vya ubadhirifu wa fedha za umma ambao umekuwa ukiripotiwa mara kwa mara na CAG katika vyama vya Siasa Nchini.

ii) Kuweka katazo kwa mtu asiye raia wa Tanzania kuwa mwanzilishi au mwanachama wa chama cha siasa, jambo hili litasaidia kuzuia watu wenye nia ovu na taifa hili kujipenyeza kwa mgongo wa siasa.

iii)kuweka ulazima wa kuwa na uwiano wa idadi ya wanawake na wanaume katika uongozi wa kitaifa na vyombo vya maamuzi vya chama hivyo kuimarisha haki ya usawa wa kijinsia na demokrasia kwa ujumla wake.

iv) Kuweka katazo kwa chama cha siasa kuanzisha kikundi cha ulinzi na usalama au kuendesha mafunzo ya kutumia nguvu au silaha ya aina yoyote kwa wanachama wake, katazo hilo litasaidia kuepusha vurugu ambazo zimekuwa zikisababishwa na vikundi hivyo, mathalani tulishuhudia aliyekuwa dereva wa katibu mkuu wa zamani wa Chadema Slaa akijeruhiwa na kikosi cha RED BRIGADE baada ya kuamriwa na Mbowe "Kumshikisha adabu"

v) Kuweka mwongozo wa mambo muhimu yanayotakiwa kuwemo katika katiba za vyama vya siasa.

Ni busara Kama viongozi wa vyama vya Siasa Kama wangetumia jukwaa la Bunge kurekebisha, kuondoa, kupinga baadhi ya vifungu ambavyo wanadhani havina tija badala ya kupoteza muda kujenga hitimisho kuwa hauna maslahi yoyote kwa taifa na kuhangaika Mahakamani kuzuia usiendelee kujadiliwa na kamati za Bunge kwenye kikao kijacho.

Nitoe rai pia kwa wananchi kuwa makini na wanasiasa makanjanja ambao wamebaini kwamba Muswada huo utaziba mianya ya ufujaji wa ruzuku, misaada na michango ya wanachama kuwapuuza na kutowapa ushirikiano, tujiulize kwa nini vyama hivi havitaki msajili kujua namna vinavyotumia ruzuku ambazo ni kodi za wananchi???? kn Siri gani hapo. Tuamke tutaendelea kushangaa chama kinapokea ruzuku ya milioni 300 kwa mwezi wakati ofisi za vyama hazina hadhi hata ya VIKOBA.
Taifa linaangamia. Hiyo ya tatu ni kulazimisha taifa kuwa jinga.
 
Mada yako ingekuwa nzuri endapo huo mswada ungeutupia humu ili kila member ausome na kuweza kuchangia vema
Kuliko ulivyoweka hiyo summary yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi MTUPU! Eti sheria za vyama vya siasa! But they are not applicable to chama cha majizi na mafisafi! They are only applicable to opposition parties!

Tuondelee upumbavu went wa Lumumba humu!

Zifuatazo ni baadhi ya faida kati ya nyingi ambazo zitapatikana kupitia Muswada wa mabadiliko ya Sheria za vyama vya Siasa endapo utapitishwa na kusainiwa kuwa Sheria kamili:

i) kuongeza uwajibikaji na uwazi katika uendeshaji wa vyama vya siasa kupitia kuruhusu msajili kuwa na access ya shughuli za vyama, hivyo kupunguza vitendo vya ubadhirifu wa fedha za umma ambao umekuwa ukiripotiwa mara kwa mara na CAG katika vyama vya Siasa Nchini.

ii) Kuweka katazo kwa mtu asiye raia wa Tanzania kuwa mwanzilishi au mwanachama wa chama cha siasa, jambo hili litasaidia kuzuia watu wenye nia ovu na taifa hili kujipenyeza kwa mgongo wa siasa.

iii)kuweka ulazima wa kuwa na uwiano wa idadi ya wanawake na wanaume katika uongozi wa kitaifa na vyombo vya maamuzi vya chama hivyo kuimarisha haki ya usawa wa kijinsia na demokrasia kwa ujumla wake.

iv) Kuweka katazo kwa chama cha siasa kuanzisha kikundi cha ulinzi na usalama au kuendesha mafunzo ya kutumia nguvu au silaha ya aina yoyote kwa wanachama wake, katazo hilo litasaidia kuepusha vurugu ambazo zimekuwa zikisababishwa na vikundi hivyo, mathalani tulishuhudia aliyekuwa dereva wa katibu mkuu wa zamani wa Chadema Slaa akijeruhiwa na kikosi cha RED BRIGADE baada ya kuamriwa na Mbowe "Kumshikisha adabu"

v) Kuweka mwongozo wa mambo muhimu yanayotakiwa kuwemo katika katiba za vyama vya siasa.

Ni busara Kama viongozi wa vyama vya Siasa Kama wangetumia jukwaa la Bunge kurekebisha, kuondoa, kupinga baadhi ya vifungu ambavyo wanadhani havina tija badala ya kupoteza muda kujenga hitimisho kuwa hauna maslahi yoyote kwa taifa na kuhangaika Mahakamani kuzuia usiendelee kujadiliwa na kamati za Bunge kwenye kikao kijacho.

Nitoe rai pia kwa wananchi kuwa makini na wanasiasa makanjanja ambao wamebaini kwamba Muswada huo utaziba mianya ya ufujaji wa ruzuku, misaada na michango ya wanachama kuwapuuza na kutowapa ushirikiano, tujiulize kwa nini vyama hivi havitaki msajili kujua namna vinavyotumia ruzuku ambazo ni kodi za wananchi???? kn Siri gani hapo. Tuamke tutaendelea kushangaa chama kinapokea ruzuku ya milioni 300 kwa mwezi wakati ofisi za vyama hazina hadhi hata ya VIKOBA.
 
Hawa wageni humu JF wanasumbua sana uwezo wao wa kuchambua mambo wameuzika. Wamejitia uendawazimu wa kutoelewa na kutokwa na ufahamu. Yaani watu wanaongelea mustakabali wa nchi, anaibuka mtu na mawazo ya kishabiki utadhani huu ni mpira wa Simba na Yanga. Kuna members kibao humu walikuwa na ushabiki wa kufa mtu kwa mahaba na Chama tawala lakini sasa wako kimya maana wanaona kuliko waandike uharo kama huu bora wakae kimya. Mwandishi mmoja wa Kitabu maarufu "1984" , Robert Owen alitumia phrase ya "Ignorance is Strength" kuonyesha ilivyo rahisi kumtawala mjinga maana unamwondolea uwezo wa kuchambua hata vitu vidogo. Hivi sasa Tanzania darasa zima linaweza kufaulu kwenda hatua nyingine ili ionekane kuwa ellimu ni bora kumbe tunazalisha wajinga tu. Matokeo yake ndio unapata vichwa na akili kama mtoa mada.
Mkuu ningepata pata nakala ya softcopy ya hiki kitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Msajili anaweza kumfuta uanachama mwanachama wa chama chochote muda wowote bila kuhojiwa na chombo chochote.
-Msajili wa vyama vya siasa, mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, msimamizi wa kituo cha kupigia kura wana kinga maalum ya kutokushitakiwa popote kwa jambo lolote watakalolifanya na kuathiri uchaguzi au chama chochote.
Lissu aliwahi sema waziri was mambo ya ndani was Ghana alitunga na kupitisha sheria ya detention, ambayo kutumika ilianza na yeye.

Bingu wa mutharika aliokolewa na katiba ambayo inaruhusu raising kucross vyama bila kupoteza uraisi

Huyu wakwetu anajitengenezea mazingira magumu ndani ya chama chake na nje pia

Sikh ukitokea mtiti 2020 kwenye chama chake atajuta
 
Anajitengezea sheria zitakazo mtoa madarakani, hakuna ajuaye hii sheria inaweza kumgeuka, wenzie wakamtimua kwenye chama kupitia Huyu msajili
 
Hawa wageni humu JF wanasumbua sana uwezo wao wa kuchambua mambo wameuzika. Wamejitia uendawazimu wa kutoelewa na kutokwa na ufahamu. Yaani watu wanaongelea mustakabali wa nchi, anaibuka mtu na mawazo ya kishabiki utadhani huu ni mpira wa Simba na Yanga. Kuna members kibao humu walikuwa na ushabiki wa kufa mtu kwa mahaba na Chama tawala lakini sasa wako kimya maana wanaona kuliko waandike uharo kama huu bora wakae kimya. Mwandishi mmoja wa Kitabu maarufu "1984" , Robert Owen alitumia phrase ya "Ignorance is Strength" kuonyesha ilivyo rahisi kumtawala mjinga maana unamwondolea uwezo wa kuchambua hata vitu vidogo. Hivi sasa Tanzania darasa zima linaweza kufaulu kwenda hatua nyingine ili ionekane kuwa ellimu ni bora kumbe tunazalisha wajinga tu. Matokeo yake ndio unapata vichwa na akili kama mtoa mada.
Ndiyo maana unaitwa NyaniMzee badala ya kuchambua mada iliyopo mezani unamshambulia mtoa mada. Then unajifanya una akili ya kuchambua mambo! Chambua mada iliyopo mezani ili tujui kweli kama ni mchambuzi mzuri au ni kilaza.
 
Anajitengezea sheria zitakazo mtoa madarakani, hakuna ajuaye hii sheria inaweza kumgeuka, wenzie wakamtimua kwenye chama kupitia Huyu msajili
Hamtaki Mh. Mbowe adhibitiwe utumiaji wa ruzuku?
 
Serikali ya Magufuli inahangaika kutunga sheria za kuwabana zaidi wapinzani, wakati bungeni wao wako wengi, serikali ni ya ccm, halmashauri nyingi ni za ccm, na mwneyekiti wao wa chama taifa ni waziri wa tamisemi, majeshi yote yapo upande wao, Hivi ccm inataka ipewe nini ili ilete maendeleo kwa wananchi???

Hoja fikirishi ni wachache watakao kuelewa bro
 
Ndio maana nasema hata Chid Benz anaweza kua Raisi wa Tanzania kama akili zenyewe ndio hizi za kuvukia barabara tu.
 
Back
Top Bottom