Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,798
- 156,930
Kulimenya hata mimi sipendi na sijawahi menya. Ukute limewekwa kwenye fridge lina kaubaridi flani aisee nakula bakuli zima
Kulimenya hata mimi sipendi na sijawahi menya. Ukute limewekwa kwenye fridge lina kaubaridi flani aisee nakula bakuli zima
Halafu umepotelea wapi rafiki
Si umetupa rafiki?Halafu umepotelea wapi rafiki
Hamna bwana, nakukumbukagaSi umetupa rafiki?
Unajua kabisa wewe ndiye unapaswa kunitafta ukikaa kimya nikueleweje?Hamna bwana, nakukumbukaga
Wewe unajua wapi pa kunitafuta banaa, hujataka tuUnajua kabisa wewe ndiye unapaswa kunitafta ukikaa kimya nikueleweje?
Tufanye tumwkosea wote....tumeua undugu mzuri sana...hebu tuufufue mankaWewe unajua wapi pa kunitafuta banaa, hujataka tu
Hapo sawa. NakujaTufanye tumwkosea wote....tumeua undugu mzuri sana...hebu tuufufue manka
Pamoja na mbegu zakeWale wote wanahitaji fenesi...lipo...linauzwa kwa Bei nafuu...Bei njoon DM...
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Kilimanjaro, Arusha kiasi, Pwani, Tanga, Morogoro n.kBandiko zuri,lakini huku sema kwa Tanzania linapatikana mikoa gani?
Kaka utapata Murder case sasa hivi, nguvu za kiume ni tatizo sana, haswa kwa vijana sijui tatizo liko wapi.Mkuu huu ni utani plz
Kama mimi.Napenda harufu yake
Mwenye tatizo siriaz anione kwa ushauriKaka utapata Murder case sasa hivi, nguvu za kiume ni tatizo sana, haswa kwa vijana sijui tatizo liko wapi.
Usijefunga pm yako kwa msongamano wa pm.Mwenye tatizo siriaz anione kwa ushauri
Hapana, siwezi fungaUsijefunga pm yako kwa msongamano wa pm.