Zifahamu dalili za nje za Mtu mwenye msongo wa mawazo

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
533
1,000
u75y.png

Kujitenga ghafla na marafiki, familia na jamii

Kuongeza kiwango cha matumizi ya #pombe na #DawaZaKulevya

Tabia ya ukali ya ghafla na mabadiliko makubwa ya mhemko (mood swing)

Tabia ya ghafla ya uzembe au kusukumwa kufanya jambo na kulala sana au kidogo.

Kuzungumzia kuhusu kukosa tumaini na upweke

Kama umemtilia shaka ndugu yako ama rafiki wa karibu ana dalili za msongo wa mawazo basi tambua kuwa hali hiyo si nzuri kwa afya kwani inaweza kumsababishia tatizo la akili. Unaweza kuongeza ukaribu nae na jaribu kuzungumza nae kwa utaratibu ili kumsaidia.
 
Upvote 0
Apr 18, 2021
53
125

mkuu akiwa anaongea mwenye je huyu mtu tunamuweka kwenye kundigani
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom