Zifahamu changamoto wanazokabiliana nazo Wanawake waliojifungua Watoto Njiti

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
1606739861804.png

Kukimbiwa na kutengwa na wenza (Baba wa Mtoto): Wanaume wengi na ndugu hudhani kupata Mtoto Njiti ni jambo la laana au mkosi hivyo humtenga Mama na Mtoto wake

Kushindwa kumudu gharama za malezi ya Mtoto: Watoto waliozaliwa kabla ya muhula kutimia au waliozaliwa na uzani wa chini wanahitaji uangalizi mkubwa ambao unahitaji fedha nyingi

Uwepo wa vifaa visivyotesheleza kwa ajili ya kuwatunza watoto: Hospoitali nyingi bado hazijajengewa uwezo wa kuwatunza na kuwahudumia watoto njiti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom