Zidumu fikra za Mwenyekiti democrasia mpya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zidumu fikra za Mwenyekiti democrasia mpya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Dec 20, 2011.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nafuatilia malumbano ya vyama vya siasa kwa muda,ila nilichogundua ni kwamba mwananachama yoyote ndani ya hivi vyama haruhusiwi kuwa na mawazo tofauti na mwenyekiti wake,na ikatokea ya kuwa mwanachama ana mawazo tofauti na mwenyekiti,basi hapo ndipo unapoambiwa kuwa huna nidhamu.

  Je watanzania wapenda demokrasia tukemee hii tabia ya aibu kabisa ambayo si tu inadidimiza mawazo ila inanyonga mawazo endelevu ya kizazi cha kuanzia mwaka 1970 mpaka miaka ya tisini
  .
   
 2. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Baadhi ya vyama nchini vinatumia mfumo na katiba ya CCM,mwenyekiti hakosolewi hata kidogo hata kama amekosea anasifiwa na kupongezwa,huo ndio mtindo uliopo,cha msingi ni sisi wananchi kuvikataa hivyo vyama kwani havifai kuitwa vyama vya upinzani.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Zitto kabwe aliwahi kuwa na mgogoro mzito na Mbowe, kisa alitangaza kugombea uenyekiti na msemaji wa kambi rasmi bungeni
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Hamad Rashid juzi ameingia kwenye mgogogro na Maalimu kwa kuwa eti katangaza kugombea ukatibu mkuu
   
 5. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,990
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Hata Shibuda naye alitaka kugombea urahisi, muulize CCM walimfanyaje!!
   
 6. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  intelligent thread......

  madhara ya background ya siasa under CCM dominaNCE for sometimes....

  kwa nini list ya wajumbe ilibadilishwa mwishoni? kwa ni ni teendwa aliipokea list mpya ya nccr? kwa nini kura zipigwe za wazi kama zile za NDIYO na SIYO ZA MAMA MAKINDA BUNGENI?


  how do we change?????
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  acha kumsema mbatia
   
Loading...