Zidane hana budi kumrudisha Cr7.

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
3,613
5,101
Mnyama jana kaonesha unyama wake, kadhihirisha kuwa yeye sio mzee,
Zidane ili arudishe makali ya Real basi hana budi kumrudisha huyu mnyama kwa gharama yoyote ile, pengo la mnyama ni kubwa mnoooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom