ZIara za kitalii za JK Wizarani zalenga kumhadaa nani??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZIara za kitalii za JK Wizarani zalenga kumhadaa nani???????

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Rutashubanyuma, Mar 19, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,234
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2005 mara baada ya kuchaguliwa kuwa Raisi Jk aliona amekuwa mbunifu kwa kuanza kutembelea Wizara kujua matatizo na kutoa mweleko wa serikali yake................

  Hii ni tathmini yangu ya awali ambayo inathibitisha ya kuwa JK is an ineffective and a moribund leader..........................kama angelikuwa ni kiongozi makini asingerudia ziara hizi za kitalii kwa sababu hazina matunda yoyote katika ujenzi wa taifa na hii ni tathmini yangu...............................

  1) Baadhi ya kero ambazo Jk amerudia kuzikemea ikimaanisha ya kuwa hakuna mafanikio kiutatuzi ni hizi zifuatazo.................................

  a) Mrundikano wa mizigo bandarini Dar............................

  Miaka 5 iliyopita aliahidi yafuatayo na ambayo tena anarudia sasa kuyaahidi..............

  i) Upanuzi wa bandari ya Dar na ujenzi wa bandari mpya kule kwake Bwagamoyo............

  2) Ufanisi wa TRA katika kukusanya mapato na kutatua kero.............

  Hapa hakuna mabadiliko ya maana.................

  3) Ikulu kuingilia Bodi ya Tanesco katika majukumu yake na kulisababishia taifa kuingia katika mikataba ya kifisadi kama ile ya Richmond/ Dowans...............

  JK ameahidi kuacha kuwaingilia Bodi ya TANESCO bila ya kuona ya kuwa jibu halipo kwenye ahadi za mdomo bali katika mabadiliko ya kisheria tu ambayo yatamnyang'anya Waziri husika mamlaka ya kuiteua Bodi na mamlaka hayo kuhamishiwa kwa wadau husika kupitia wawakilishi wao........................................vile vile uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi hiyo kuelekezwa kwa wajumbe wa Bodi badala ya Raisi kuwaingilia katika kuwateulia kiongozi husika.......................ni udanganyifu usio na kifani kwa Jk kudai ya kuwa sasa hawataingilia Bodi tajwa huku bado wanaendelea kuiteua Bodi hiyo...........................mabadiliko ya kisheria tu ndiyo yatathibitisha azma hii............

  4)Lengo la kuongeza idadi ya watanzania kuunganishwa kwenye GRID ya taifa kufikia 30% by 2015 inakwamishwa na kupanda kwa bili za umeme lakini upofu wa Jk kwenye hili unamwongoza kuona ya kuwa tatizo ni gharama za kuwaunganisha wateja wa Tanesco tu ndizo zipunguzwe...........................angelikuwa yupo karibu na wananchi angeligundua ya kuwa idadi kubwa ya wakaazi wengi wa kipato cha chini - na ambao ndiyo walio wengi - waliounganishwa kwenye GRID ya taifa sasa hivi wamejitoa katika GRID tajwa bila ya kupenda kutokana na kupanda maradufu kwa gharama za kuulipia huo umeme.................ili kuwashibisha mafisadi wachache ndani ya serikali yake Bw. JK............................inakuaje wazalishaji binafsi wazalishe 47% kwenye GRID ya taifa halafu waondoke na kitita cha mapato yote kwa 84%?


  Hii kama siyo dhuluma dhidi ya watanzania ni nini?


  Ziara za kitalii za JK kamwe hazina majibu ya kero hizi kwa sababu mwasisi wa ufisadi ndani ya TANESCO ni yeye mwenyewe JK na hakuna mwingine.....................................

  3) TANROADS ambako JK bado hajafika lipo tatizo la muda mrefu ya safu ya uongozi kugubikwa na ufisadi na kulisababishia taifa hasara ya mabilioni kila mwaka na kuvunja nguvu za kulitoa taifa hili kwenye lindi la umasikini.....................lakini vibosile wa TANROADS wamejijenga kisiasa na hata kuwanunua wabunge wasio waadilifu ndani ya CCM na kutumia wingi wao Bungeni kukwamisha mabadiliko yasiyokwepeka ndani ya TANROADS.......................kwa hoja zisizo na mashiko ya kuwa wao wanataka barabara zijengwe na vibosile hao waking'olewa eti barabara hazitajengwa.................what a boloney..........jambo ambalo silo la kweli hata chembe....................

  Serikali wakati ikiahidi kutoingilia Bodi ya Tanesco wakati huo huo imeamua kuingilia TANROADS majukumu yake ya kisheria kwa kudai mikataba yote lazima ipitiwe nao..........................utadhani ndani ya TANROADS hakuna wanasheria na ama wale waliopo serikalini ndiyo bora............................maagizo haya yanathibitisha ya kuwa serikali hii haina imani na watendaji ndani ya TANROADS lakini haina ubavu wa kuwaondoa na hivyo kubeza sheria za ajira za mikataba ya miaka mitatu mitatu kwa kuanzisha ajira za kudumu kinyemela......................................

  Sasa huyu JK anafikiri kwa kuvinjari kila wizara na kuwakenulia watendaji meno yake meupe.....a product of dental veneer retouch....basi ufanisi utaongezeka au hizi ni siasa uchwara za kuwapa raia sura ya kuwa tuna Raisi mchapa kazi huku matunda ya uchapa kazi huo ni hasi??????????????????????
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,655
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  JK ni msanii, hiyo ni fani yake hivyo hatushangai kwani aliingia kwa staili hiyo na ukiona hivyo karibuni anatoka, game limemshinda, huwezi kuendesha nchi yenye matatizo lukuki kama bongo kwa usanii, lazima utakwama tena kwa fedheha kama alivyo sasa hivi mkwere, anajitia kutoa mimacho kama mjusi aliyebanwa kwenye mlango, haisaidii.Halafu amechujuka sana,sijui ndiyo mawazo ya kuiaga ikulu huku angali anaitamani!SIKU ZOTE NJIA YA MWONGO NI FUPI, PIA MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI NA NGOMA YA KITOTO HAIKESHI.
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Unajua mkwere ni mzee wa kurespond na ksha kutambaa...mlimsema sana hati amekuwa mtalii wa kwenda nje,akaona ajibu kwa kutalii ndani..mkamzingua apunguze makali ya maisha ,akaigiza pale wizara ya fedha ..lakn kutoa mguu tu mkuluto anang'aka ati haipunguzwi kodi na kila mmoja ale urefu wa kamba yake hata ulaya maskini wapo...rather a tourist continues worthlessly!
   
Loading...