Ziara ya Zitto nchini Malaysia

Shapecha

Member
Oct 21, 2010
45
1
zitto-na-tun-dr-mahathir.jpg


Kigoma North MP Hon. Zitto Kabwe with Malaysian ex PM Tun. Dr. Mahathir Mohamad after a discussion in his Office at Petronas Twin Towers, Kuala Lumpur. Zitto is in Malaysia on a one week long private visit at the invitation of Malaysian ex PM Tun. Dr. Mahathir Mohamad who was a very close friend of Mwalimu Nyerere, to learn more on the Malaysian development experience and the palm-oil industry.

After our meeting this is what Tun. Dr. Mahathir Mohamad said to ZITTO:

“Put your country at heart, don't destroy your country for political expediency or for fulfilling your ambition. Serve your country”


Anasema amepata uchungu sana na maneno haya. Ameyapenda sana
 
Hicho ni kichwa na ni vema Mh wetu akatumia vizuri fursa hii kujifunza mengi toka kwa gwiji huyo Mahathir ili asaidie jimbo na nchi yake.
 
Mbona Zitto akiyakoroga mambo anasafiri kwenda nje? Last time alienda Ujerumani baada ya kutolewa jasho kwenye kugombea umwenyekiti.
 
Now thats what I call work aliyotumwa na watu wake..........

PLEASE MORE OF THESE AND LESS OF TALKING TO MEDIA ABOUT WHAT HAPPENS BEHIND THE SCENES KWENYE CHAMA CHAKO LET YOUR WORK DO THE TALKING AND NOT YOUR MOUTH
 
Not interested!! Dogo yuko tayari kuuwa chama kwa ajiri ya yeye kupata umaarufu binafsi!!
 
Hiyo habari ni ya lini? Wajinga ndio waliwao! Kwa hiyo tuseme amemshauri aende ccm?
 
picha%2Bya%2Bpamoja%2Bna%2Bnaibu%2Bbalozi%2Byahya%2Bsimba.jpg

Hons. Zitto Kabwe and Muhonga Ruhanywa with Deputy Ambassador Hon.
Yahaya Simba in a souvenir photo with Dr. Mahathir Mohamad

UBUNGE mtamu na mimi nitajaribu next time
 
sio kama ameenda kutafuta wawekezaji au kwa deal lolote lenye kuwaletea tija watanzania.
chamsingi tu wakati mwingine kwenye hizi local politics akileta staili ile ya western-politics ataharibu mambo
 
Zitto kwa kujipendekeza hajambo. Kiherehere kitampeleka pabaya.
 
Zitto,
"Put your country at heart, don't destroy your country for political expediency or for fulfilling your ambition. Serve your country"
Haya ndio tumekuwa tukikwambia siku zote mkuu wangu, hukuamini hadi kasema Mahadhir?..
 
Zitto, fanya hiyo ziara iwe ni mafunzo makubwa kwako, machache utayo yapata kwa huyo MM yana maana sana. Hongera.
 
Suala kubwa ni manufaa kwa wabongo kama hakuna kanufaa basi tumtakie utalii mwema!
 
Tundu lissu= 45 ccm mps, zitto =40 ccm mps, mnyika =50ccm mps, shibuda =40 ccm mps, etc hapatatosha
 
Zitto, Haya ndio tumekuwa tukikwambia siku zote mkuu wangu, hukuamini hadi kasema Mahadhir?..

Bob Mkandara,

Naomba kufahamu hivi ni kwanini Mwalimu Nyerere hakuweza kuifikisha Tanzania kama walivyoweza hawa wazee na marafiki zake wengine huko Asia Kusini na kwingineko?

Ahsante.
 
Jamani.....Zitto who?
Nchi hii ina mambo mengi ambayo vichwa vilivyomo humu JF vinatakiwa viwe focused on.
Why all this triviality of discussing personalities? All this trash is getting into my nerves now.

Anyone out there, I need your help....how can I block a thread/post with the name "Zitto", etc on it?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom