R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiangalia chakula cha Ng’ombe wakati alipotembelea mashamba ya ng’ombe na kiwanda cha MilkCom kinachomilikiwa na makampuni ya OilCom Group kilichopo Kigamboni wilayani Temeke jijini Dar es salaam nchi hizi mbili.
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiongozwa na Mkurugenzi wa kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi wakati alipokuwa akitembelea kiwanda hicho.
Baadhi ya ng’ombe katika shabla la kampuni ya MilkCom
Baadhi ya wafanyabiashara hao wakikagua eneo la kukamulia maziwa.
Dk. Sajeev Kumar Meneja wa Shamba la mifugo akitoa maelezo kwa Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic na ujumbe wake wakati alipotembelea shamba hilo.
Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiuliza jambo wakati alipotembelea shamba la ng’ombe la Milkcom.
Meneja wa Shamba la ng’ombe la Milkcom akitoa maelezo
Ng’ombe wa maziwa wakikamuliwa kwa mashine maalum.
.
pakiti za maziwa yaliyokwasha tengenezwa tayari kuingiua kwenye soko.
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akipokea zawadi kutka kwa Salim Nahdi Mkurugenzi wa kiwanda cha maziwa cha Milkcom.
Uongozi wa kiwanda cha Milkcom na ujumbe wa wafanyabiashara