Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,710
- 93,440
Wewe dada hebu tuliaMatusi ya nini? sasa si uhamie Kenya au Zambia? na aliyekudanganya kenya mafuta rahisi nani? au una kariri. Kwa hiyo lini mafuta Tanzania yalikuwa rahisi si uje na facts. Mafuta Tanzania bei kubwa sababu ya sheria za kodi, kodi za Tanzania ni zaidi ya 80% sasa wewe kaa na ndoto kuwa mafuta bei rahisi nje tembea uone acha kusoma magazeti ya vijiweni. Kenya liter moja ni dola moja na vicent ukichange kwetu huku unagonga 2350 huko. unataka mafuta bei rahisi toa kodi unalalamika nini