Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

Unadhani kuwaita watu Mabeberu kila kukicha ni Diplomasia. Ukakasi wowote wa mahusiano unaotokea / utakaotokea ni kukosa hekima / busara kwa viongozi wenyewe.

Pia kumbuka kwenye mambo ya biashara ni Quid Pro Quo, hata ukiwatukana watu in the end kama they have more to gain (dollarwise) who cares, ila wale ambao bottom line sio kutengeneza faida bali walfare ya watu duniani (utawapoteza)


Hapo kwenue Quid Pro Quo ni ngumu kwa kichwa cha Lumumba kukuelewa haswa kama yule mwenezi mwenye kutoa moja peleka hapa hawaelewi hata maana ya hili neno bro
 
Back
Top Bottom