igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,590
- 3,346
Nafuatilia hii ziara kupitia Clouds TV, leo RC Makalla yuko live kutoka Mnazi Mmoja Dar. Kiukweli wananchi wengi wanaoongea hapa wana kero za msingi sana, lakini ukiangalia kwa umakini utadhani hii nchi huko chini hakuna viongozi.
Yaani kwa mambo anayoelezwa RC utadhani hakuna DC, DED, WEO, wenyeviti wa mitaa na ofisi mbalimbali.
Yaani kwa mambo anayoelezwa RC utadhani hakuna DC, DED, WEO, wenyeviti wa mitaa na ofisi mbalimbali.