William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili.
Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na kushindana. Raisi anaenda Marekani kwenye mkutano. Na Kama mjuavyo washauri wake ambao naamini NI wacomunisti hawakutaka Hilo litokee. Sababu wanajua watakaa na kujadili vitu mbalimbali vya kiuongozi na Democrasia na wanadiplomasia wa kimagharibi na anaweza akaja na mtazamo mpya.
Kama wapinzani wangekuwa na Ajenda zao wangewatumia wanadiplomasia wa Magharibi kumshawishi mama kubadili mitazamo yake na sio kushinikiza asisikilizwe kabisa. Lazma mama aseme anachoamini na wao watoe mawazo.
Pia kupitia ziara hiyo watanzania wakimbizi wa kisiasa wangeomba kukutana na mama Marekani huko huko na kubadilishana mawazo kwa utulivu.
Hatua za kuchochea kutopokelewa au kupuuzwa mama NI za kimihemko na hazina tija. Kama taifa tunanafasi ya kushinikiza maridhiano na sio mpasuko wa kisiasa na ata hao wazungu kuona Wapinzani hamjapevuka kisiasa na hamtoshi kutawala kwani mnaongozwa na hasira na visasi na si logic kusolve politics problem.