Ziara ya Rais Magufuli na Rais Museveni mpaka wa Mutukula, Uganda

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,426
7,737


Rais wa Uganda Yoweri Museveni anamkaribisha rais wa Tanzania Dr John Magufuli kuhutubia;

Rais Magufuli: Nianze kwa kukushukuru sana rais Museven kwa kunialika kufanya ziara katika nchi ya Uganda.
Napenda kuwashukuru serikali na wananchi wa Uganda kwa mapokezi yenu mazuri sana, asanteni sana

=>Mh rais kama mnavyofanhamu tuko hapa kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa bomba la mafuta la Afrika masaharika kutoka Hoima hadi Tanga lenye urefu wa
km1445; km 115 upande wa Tanzania na 300 km Uganda.

=>Haya mafuta yalikuwepo wakaja wazungu hawakuyaona mpaka wewe ulipotoka mafichoni ukaanza kupanga mikakati.
Ukawatuma vijana na naomba nikueleze vijana hawa they are too special in Africa.

=>Vijana kama hawa waliogundua mafuta haya ndio tunaowahitaji Afrika.

Na mimi najua kuna tuzo huwa zinazotolewaga. Nikuombe uwape hawa vijana tuzo. Wamefanya kitu kikubwa.

=>Wakati mwingine huwa tunategemea consultant kutoka nje. Wape tuzo wherever they go, watatambulika kama experts from Africa.

Napenda paia kumshukuru waziri wako wa nishata Miss Irene pamoja na wataalamu wote waliosimamia mchakato huu. Mchakato was very very difficult.

Ulikuwa unahusisha nchi mbili ambazo zina mifumo tofauti katika kukolekti revenu.

Sasa ikafikia mahali wote mkakubalia, ilihitaji sacrifice pande zote mbili.

Sisi Tanzania tulifanya sacrifice ambayo ilihitaji bilions of money. Kutokana na upendo tuliokuwa nao ilibidi tuende bungeni tukafanye mabadiliko ya baadhi ya sheria.

Na tarehe 11/09 bunge lilikubali mabadiliko yote.

Mh rais nimeanza na kukupongeza wewe maana usingesimama wewe imara tungetoka na hiyo theeory kwamba there is no oil. Lakini ww ndiye driving force kwa kuwasomesha vijana. Hata sisi Tanzania mafuta tunayo because we have so many hydrocabon Lake Eyas na mbuga za wembele.

Inawezekana wananchi wananchi wa Uganda wasione umuhimu wa mafuta haya mafuta na inawezekana hata ukatukanwa na wakakutharau lakini the history will tell.
Sisi Tanzania tuna msemo usione vyaelea.

Umekuwa hoye kwa Uganda na Tanzania kwasababu usingefanya hizi effort zote bomba lisingepita Tanzania.

Wapo wengine walitaka hili bomba lipite East Africa.

=>Uliangalia pia root ya ulipotokea, ulitoa kwa kutupenda, lakini ulitoa kwa kuangalia pia gharama za kupitisha.

Kwanza tulisema bomba likipita katika maeneo ya road reserve. lakini pia kutoka Singida 700km, halitahitaji pumping mashine.

=>Pia Tanga ni well protected. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania securitywise is fine.

=>Wanasiasa hawa watanzania ni wakarimu hawana matatizo.

=>Nakuhakikishia wakati wa utawala wangu na baada ya utawala wangu, bomba hili litakuwa salama bila tatizo. Kwasababu bomba limekuja kwa wakati

We are ready for the project.

Na hii nizungumze kwa wawekezaji, you came for the right time; why should we wait until 2020?
After all you know and you are sure if the oil will start getting out you will get money. Why should we wait until 2020. We need this project now
 
Mkuu wanafanana kama ndugu
KAMA HAWA WANAVYOFANANA

LOWASA.jpg
it01.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom