Ziara ya Rais Kibaki Dar July 09

M

MegaPyne

Guest
hara.JPG


harambeeee.JPG


JK na KIBAKI ktk picha ya pamoja na wanafunzi wa St Joseph Millennium school

harambeee.JPG


Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozini

harambee.JPG


Wakiwa na baadhi ya Mawaziri toka Kenya

harambe.JPG


haramb.JPG


haram.JPG




Harambee Plaza.


 
kibaki+1.JPG

Rais wa Kenya Mh. Mwai Kibaki akipokea maua mara bvaada ya kutua Dar leo huku mwenyeji wake akiangalia

kibaki4.JPG

Mh. Mwai Kibaki akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
kibaki3.JPG


Mh. Mwai Kibaki akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Mganga Ngeleja

kibaki2.JPG


Mh. Kibaki akipokewa kwa vifijo na nderemo dar leo.



1.JPG


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mwai Kibaki wa Kenya mara baada ya kufanya mazungumzo naye ikulu jijini Dar es Salaam

3.JPG


Rais wa Kenya Mwai Kibaki akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake na Jeshi la Wananchi Tanzania.

2.JPG


Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha nchini Rais wa Kenya Mwai Kibaki kwa ziara ya kiserikali.

1.JPG


Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya wakilakiwa na akinamama wakazi wa Dar es Salaam baada ya Rais Kibaki kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana kwa ziara ya kiserikali.

 
Back
Top Bottom