Ziara ya Mwenezi Shaka Hamdu Shaka katika Vyombo vya Habari vya Zanzibar asubuhi hii

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
207
308
ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA ZANZIBAR ASUBUHI HII.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 13, 2022 kuanzia asubuhi hii atatembelea katika Vyombo vya Habari vya Zanzibar kwa kuanza na Shirika la Magazeti (ZANZIBAR LEO), Bahari FM Redio, Zenji FM Redio, Mwenge FM, Sunet TV pamoja na ZBC TV na REDIO.

#Tutawafuatakokote
#KaziIendelee

IMG-20220712-WA0014.jpg
 

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,710
22,023
Ni Tanzania tu...masikini Tanzania! Cry my beloved country!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom