gimanini
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,741
- 1,753
Hatimaye zamu ya mkoa wa Mara kwa mgombea urais wa JMT, mhe. Edward Lowassa, imefika. Atakuwa akianza mikutano ya Kampeni zake leo.
Maandilizi makubwa yanamsubiri wilayani Tarime kiongozi atakayefanya mikutano mjini hapa majira ya jioni ya leo.
Alipo tupo na tunamkaribisha rais wetu huku.
TARIME
SERENGETI
Maandilizi makubwa yanamsubiri wilayani Tarime kiongozi atakayefanya mikutano mjini hapa majira ya jioni ya leo.
Alipo tupo na tunamkaribisha rais wetu huku.
TARIME
Tangu uumbaji wa Dunia haijawahi kutokea kwa umati huu wa watu katika mji huu wa tarime vijijini, Nyamongo.
Kwanza umati uliomsindikiza mgombea mpaka uwanjani naulinganisha na ule wa Dar uliomsindikiza Lowassa kuchukua fom NEC
Picha hizo nimepiga nikiwa katikati ya uwanja..pia mtandao unasumbuaa sanaa...
Huku tunaisubiri october 25th
View attachment 297130View attachment 297131
SERENGETI
Haya sio mafuriko, sio gharika, sio tsunami na wala sio garamnasi.
No comment. I am speechless... Tukutane 25.10.2015
View attachment 297129