Ziara ya Mbunge wa Ndanda Jimboni Kwake 10 na 11/06/2017

Zamazangu

JF-Expert Member
May 16, 2015
789
408
Mbunge wa Jimbo la Ndanda Chadema Cecil David Mwambe, ametembelea kata za Lukuledi na Chiwata ambako alishirikiana na wananchi ktk Ujenzi wa Zahanati. Ziara hii imekuwa na mafanikio makubwa ktk kutekeleza ahadi zake kwa wananchi huku akishiriki yy mwenyewe ktk shughuli hizo.

Kata zingine ambazo zimepewa miradi ya ujenzi wa zahanani kupitia mfuko wa jimbo ni pamoja na Kata ya Ndanda, Mwena, Chikukwe Chikundi, Mpanyani, na Chiroro.

Mwitikio wa wananchi katika kichangia ngici zao ni mkubwa, tunamuombea kila la kheri Mwambe na Wabunge wote wanaojitambua na wako tayari kutatua kero za wananchi waliowapa ridhaa ya kuwa viongozi. big up
 
Ahsanteeee...... natamani wabunge wote wa upinzani wachape kazi kma huyu ili wananchi waone tofauti ya upinzani na chama tawala.
 
Hongera sana mbunge, maendeleo kwa wananchi wako ndio jukumu lako kubwa. Mungu akubariki.
 
Mbunge wa Jimbo la Ndanda Chadema Cecil David Mwambe, ametembelea kata za Lukuledi na Chiwata ambako alishirikiana na wananchi ktk Ujenzi wa Zahanati. Ziara hii imekuwa na mafanikio makubwa ktk kutekeleza ahadi zake kwa wananchi huku akishiriki yy mwenyewe ktk shughuli hizo.

Kata zingine ambazo zimepewa miradi ya ujenzi wa zahanani kupitia mfuko wa jimbo ni pamoja na Kata ya Ndanda, Mwena, Chikukwe Chikundi, Mpanyani, na Chiroro.

Mwitikio wa wananchi katika kichangia ngici zao ni mkubwa, tunamuombea kila la kheri Mwambe na Wabunge wote wanaojitambua na wako tayari kutatua kero za wananchi waliowapa ridhaa ya kuwa viongozi. big up
Jamaa Yukoi makini sana niliishi Nate mtaa mmoja pale CBE, block D
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom