Ziara ya Mbowe Ikulu kama itakuwa ya kizalendo namuona Dr Tulia akikaimu Uspika na kuutwaa kabisa

Wewe kwa akili zako ndogo unahisi Mbowe ataenda kuzungumza kuhusu habari za Covid wale,au kuhusu mambo yake binafsi???

Sahahu kuhusu Covid coz hule ni mpango wa siri wa Mbowe na Job .
Usituletee ndoto za alinacha hapa....!!!!
Our Constitution is LOUD AND CLEAR to get rid of Covid-19!
 
ILA wizi wa Kura na Kura FEKI NI SAHIHI?
Subiri sikh yale
Hivi Ndugai sio mwanasheria?
Fuatilia CV ya Ndugai utashangaa!
Kasoma Chuo cha Kusimamia Wanyama( Mwika Wildlife Management).
Hapo a.ipo hajui Sheria hata moja!!!

Profile​

1510922805-JOB%20NDUGAI.jpg

Speaker of the National Assembly
Hon. Job Y. Ndugai
Telephone: +255 (0) 26 2322756 Dodoma +255 (0) 22 2118588 Dar es Salaam
Mobile:
Fax: +255(0) 26 2324218 Dodoma +255(0) 22 2112538 Dar es Salaam
Email Address: sp@bunge.go.tz

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Eastern and Southern African Management InstituteMasters of Business Administration20052008Masters Degree
Agricultural University, NorwayMasters of Science19951996Masters Degree
Agricultural University, NorwayPost Graduate19941995Postgraduate Diploma
University of Dar es SalaamBSc (Hons)19891993Bachelor
College of African Wildlife Management, MwekaDiploma19861988Diploma
Old Moshi Secondary SchoolACSEE19821984Secondary School
Kibaha Secondary SchoolCSEE19781981Secondary School
Matare Primary SchoolCPEE19711977Primary School

Employment History :​

Company/InstitutionPositionFromTo
TAWIRI / MNRTSenior Research Officer19982000
WesternSerengeti ProjectDirector19961998
Selous Game ReserveManager19931994
Ministry of Tourism and Natural ResourcesDistrict Resources Officer19881989

Political Experience :​

Political PartyPositionFromTo
Chama cha MapinduziMember too the National Executive Council2016Todate
Chama cha MapinduziMember to the Central Committee2016Todate
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20152020
Parliament of TanzaniaSpeaker2015Todate
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20102015
Parliament of TanzaniaDeputy Speaker20102015
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20052010
Parliament of TanzaniaPresiding Officer20052010
Lands, Natural Resouces and Environment Committee of the ParliamentChairman20052010
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20002005
Lands and Natural Resources Committee of the ParliamentMember of the Committee20002005
Chama cha MapinduziMember to the District Political Committee2000Todate
Chama cha MapinduziMember to the Regional Executive Council2000Todate
Chama cha MapinduziMember to the National Congress2000Todate

1510922805-JOB%20NDUGAI.jpg

Hon. Job Y. Ndugai
Speaker of the National Assembly
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Tatizo wanakwenda Ikulu at their lowest level of quality. Ni wanyonge tu! Ni watu ambao quality yao iko chini.

Wakati wa Kikwete walikuwa strong, wakaenda wakiwa na watu heavy weight akina profesa Baregu na Safari, Wakapewa chai/kahawa. Wakapewa na ahadi. Waliporudi, nchi ikaendelea na wakapigwa. Sioni kinachowapeleka ambacho ni tofauti na Mrema, Lipumba Zitto, Cheyo, n.k. Au bado wanatafuta wanachokiita reconciliation? Huyo mtu wa ubelgiji alichokuwa anabwabwaja walimtuma?
 
Mbowe ni Kamanda asiye na Battalion kwa sasa, Siasa zake za 2010 zilijengwa kwenye Msingi Imara ndani ya Mioyo ya Watanzania wa Kada zote,

Baada ya Sayansi ya Siasa kubadilika, Mbowe bado ameendelea kutumia mbinu zile zile katika Mazingira tofauti,

Ushawishi wake unapungua Siku hadi siku, Asipozisoma vyema alama za nyakati ninamwona akizama kama Mchumi Lipumba na CUF yake.

Supreme Leader Ayatolla Khamenei Zito anatumia Mchezo wa kudumu kwenye nafasi ya Uongozi wa Chama Milele kama saccos yake,na hizo Mbinu amejifunza toka kwa Mbowe akiwa Chadema
 
Ww ni secretary wake?
Ikulu ni mahala patakatifu(nyerere) ,jiulize mama hakuona kama kuna kuminywa Uhuru wahabari navyombo vyenyewe vyahabari,kukosoa serikali ilikua ngumu kwani mama hakuwepo iweje Leo aruhusu..kikubwa utambue awamu hii mnyonge hatumiki tena.....nampenda sana mama yetu kipenzi samia
 
Subiri sikh yale

Fuatilia CV ya Ndugai utashangaa!
Kasoma Chuo cha Kusimamia Wanyama( Mwika Wildlife Management).
Hapo a.ipo hajui Sheria hata moja!!!

Profile​

1510922805-JOB%20NDUGAI.jpg

Speaker of the National Assembly
Hon. Job Y. Ndugai
Telephone: +255 (0) 26 2322756 Dodoma +255 (0) 22 2118588 Dar es Salaam
Mobile:
Fax: +255(0) 26 2324218 Dodoma +255(0) 22 2112538 Dar es Salaam
Email Address: sp@bunge.go.tz

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Eastern and Southern African Management InstituteMasters of Business Administration20052008Masters Degree
Agricultural University, NorwayMasters of Science19951996Masters Degree
Agricultural University, NorwayPost Graduate19941995Postgraduate Diploma
University of Dar es SalaamBSc (Hons)19891993Bachelor
College of African Wildlife Management, MwekaDiploma19861988Diploma
Old Moshi Secondary SchoolACSEE19821984Secondary School
Kibaha Secondary SchoolCSEE19781981Secondary School
Matare Primary SchoolCPEE19711977Primary School

Employment History :​

Company/InstitutionPositionFromTo
TAWIRI / MNRTSenior Research Officer19982000
WesternSerengeti ProjectDirector19961998
Selous Game ReserveManager19931994
Ministry of Tourism and Natural ResourcesDistrict Resources Officer19881989

Political Experience :​

Political PartyPositionFromTo
Chama cha MapinduziMember too the National Executive Council2016Todate
Chama cha MapinduziMember to the Central Committee2016Todate
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20152020
Parliament of TanzaniaSpeaker2015Todate
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20102015
Parliament of TanzaniaDeputy Speaker20102015
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20052010
Parliament of TanzaniaPresiding Officer20052010
Lands, Natural Resouces and Environment Committee of the ParliamentChairman20052010
Parliament of TanzaniaMember of Parliament20002005
Lands and Natural Resources Committee of the ParliamentMember of the Committee20002005
Chama cha MapinduziMember to the District Political Committee2000Todate
Chama cha MapinduziMember to the Regional Executive Council2000Todate
Chama cha MapinduziMember to the National Congress2000Todate

1510922805-JOB%20NDUGAI.jpg

Hon. Job Y. Ndugai
Speaker of the National Assembly
Mi Nikiona tu mtu aliyesoma sayansi, hata kama ni sayansi ya nzi, huyo ana sifa na shukrani zangu. Tuwe na kiasi. Tunaposema CV ya Ndugai wakati hatusemi CV ya Mbowe, Mnyika, Lema, Msigwa, .... hapo sasa ni tatizo. Wengine CV zao inabidi uruke miaka bila kusema alikuwa wapi maana sasa, wizi wa magari utasema nini?
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Kwamba rais hajui hao covid 19 waliingiaje bungeni
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom