Ziara ya mawaziri 8 mikoani na ghiriba za mtawala wetu

Ameteua mawaziri 8 kwenda mikoani kutatua kero za wananchi. Mbona hawa mawaziri kina Jafo na Lukuvi wametembea sana mikoani? Naifananisha ziara hii na ile ya Kinana na Nape iliyoibua mawaziri mizigo, sijui ilikuwa mizigo kwa nani.

Leo huyu kaja na staili mpya, ati anawatuma mikoani kutatua kero? Kero zipi zisizojulikana kwake au kwa wasaidizi? Anasema kila siku anazijua shida za watanzania sasa?

Hii ni ghiriba kwa umma ili ionekane karibu nao hata kama aliwatukana wakati wa njaa na tetemeko.

Kama alivyofanya huko Kusini kupora klrosho za watu ati anatafuta Kangomba kumbe hana pesa? Wameshitakiwa kangomba wangapi hasemi!
Hata Yesu alipingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo kufungua barabara sio kutatua kero akili nyingine takataka kabisa bora mama ako angezaa mkate akanywa na chai kuliko hasara hii
 
uongozi wa hovyo sana huu hata kwa kufikiri tu mtu anakuwa kiongozi magumashi hajui vipaumbele vyake shida tupu
 
Back
Top Bottom