Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Kwanza awali ya yote nawaomba mods msifute Uzi huu wala kuunganisha na Uzi mwingine
Leo kama mnavyojua rais Magufuli yupo mwanza kufungua kakiwanda ka juice ka Sayona kilichopo pale kijereshi
Nipo safarini kutoka Mara Kuja mwanza,nafika tu pale kijereshi/National nakutana na foleni ya ajabu sana kwa sababu eti rais ametoka kufungua kiwanda na barabara imefungwa kuanzia National kwenda mjini
Usafiri ni wa Shida sana ,nimekuta baadhi ya wananchi wanalalamika Leo imewalazimu kutumia hadi elfu 10 kwenda mjini ,yani sehemu unayotumia sh 400 Leo unalipa elfu 10 hii sio sawa kabisa
Kile kiwanda ni kidogo sana kwa nini rais asitume wawakilishi wakakifungua ili kuepusha kero kwa watu wake
Mbaya zaidi nimeskia Kuna mama kajifungulia kwenye Tax wakati anapelekwa hospital yani waligoma kuruhusu ile gari ipite kumwaisha mam mjamzito
Ntaendelea kuwaletea kero zingine nitakazokutana nazo