Ziara ya Magufuli Mwanza yasababisha kero kwa wananchi

Mbona Dar kuna foleni kila siku kuanzia banana hadi tazara, Mh.Rais ndio anaisababisha?unajua ni wangapi wanajifungulia njiani? Acha mambo ya kike mura.
 
Wewe utakua siyo Mwenyeji wa Mkoa wa Mara, watu wa Mara hawanaga majungu ya Kike kama wewe. Unampangia Mhe. Rais! Akili zako tope kabisa....... Foleni ya magari 15 ndio useme kero waulize waishi Dsm utafunguka zaidi wewe mbutta
Tope mama yako, matusi ya niNi, huwezi sema bila matusi
 
Huko MWANZA nasikia huwa mnafurahi misafara ndiyo maana anakuja kila siku, mkiona yala Magari na wala jamaa wa Tiss wamekaa juu ya Magari huwa mbafuraha kweli. Acha mshamba mwenzenu awaonyeshe ushamba zaidi
 
Mtoa mada acha kutafta kik, nauli ya sh 400, mtu katoa elf 10000, then akatumia usafir gan kwa kulipa hiyo elf kumi, umeskia mama kajifungulia kwenye gari, kumbe umeskia hukuona, na kama kajifungulia kwenye gali alikuwa anapelekwa hospital gan? Na kama kajifungua pekeake bila usaidiz wa medical person, why walivyoiona folen wasiende igoma dispensary coz alikuwa normal labor na igoma dispensary tunatoa huduma za uzaz 24 hours, tuache kuwa wapinga kristu. Jpm piga kaz baba, wanaokuombea mabaya watayaona mafanikio yako na tanzania mpya inakuja.
 
Back
Top Bottom