Ziara ya Kukutana na Dr W P Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ziara ya Kukutana na Dr W P Slaa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Yona F. Maro, Nov 16, 2010.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tunapenda kuwajulisha kwamba kutakuwa na ziara ya kukutana na aliyekuwa Mgombea wa Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA DR W P SLAA jumapili Hii , Mahali na Muda tutawajilisha .

  Kwenye ziara hii kuna gharama zake kama ukumbi wa sehemu ambayo tutakutania na vyakula/Vinywaji kwenye eneo hilo - Kwahiyo tutachangia gharama kidogo kwa ajili ya shuguli hii nategemea kuwa na gharama kamili Kesho baada ya Kupata Taarifa toka kwa wengine .

  Wote mnakaribishwa sana na mtaarifu na mwenzako

  Unaweza kudhibitisha kwa kujibu ujumbe huu

  Marafiki wa chadema - Friends of Chadema friendsofslaa@gmail.com
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  I guess itakuwa DSM tulioko mikoani jeeeeeeeeee
   
 3. D

  Derimto JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni habari njema kwa wale watako weza kuhudhuria
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  For sure ni Dar!
  Lakini provided ni members wa hapa, then tunategemea kuyapata yote waliyoongelea na waliyobadilishana na hatimaye changamoto zilizoonekana kuwa za kipaumbele!
  Lakini pia Friends Of Slaa wanatakiwa kuwa kila mkoa, na si Dar tu!...hivyo hatimaye ziara/makongamano kama haya yanaweza kuwa endelevu kila mkoa...ni mtizamo tu!
   
 5. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niafiki hoja. lakini naomba tuanze kutumia majina ya kiswahili zaidi kimkakati. Hii itasaidie kwenda mbele na jamii pana zaidi. Kwa mfano kwanini hatuiti Marafiki wa Slaa (MS) au Chadema.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nafikiri kama ujumbe unaeleweka hakuna tatizo!suala la kiswahili siyo hoja ya msingi!!
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Suala la kiswahili ni la msingi kwasababu wananchi wengi wanazungumza lugha hiyo na pia huwezi kujiita mzalendo kama hujivunii lugha ya kwenu!!
   
 8. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Nitashirki katika ziara hiyo
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ninakubaliana na wito huu
  ila SHY nina kila sababu kuwekea walakini huu mwaliko wako maana kama nikujuavyo weye ni kwamba tangu awali umeonesha kutokuwa na msimamo thabiti kuhusu demokrasia nchini. ningependa kwanza kujua msimamo wako na stand yako kwenye hoja hizi

  1. unauchukuliaje uchaguzi uliopita ulivyoendeshwa??
  2. kumekuwa na connections zinazokulink wewe as founder au co-founder wa Wanabidii Group tupe stand yako hapo
  3. Umekuwa mwanzishaji wa hoja/ vioja na kukimbia bila kujibu seuse kujadili. je nikuamini vipi kama huu sio mtego wenu??
  Hili la mwisho, unaposema kwamba TUNAPENDA kuwajulisha..... ni akina nani hao mlioandaa hii kitu???
  Je nikikuomba umwambie Dr.aa ambaye ni member humu athibitishe hayo maombi YENU kuwa tukutane naye utafanya hivyo???
  je kukutana na mgombea wetu wa urais iweje ijumuishe na kula na kunywa?? mmepanga muda gani wa mkutano na mnadhani kuna usalama kwenye hicho chakula na vinywaji??? due tumekuwa tunajadili kwa undani sana ishu za kitaifa na watawala hawapendi hiyo kitu na walishajaribu na kujaribu kuwafikia baadhi yetu kwa malengo yao....

  Nimependa idea lakini just curious....
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Well:

  Shy ni mmoja wao - the preempter!

  Shy, umeanza lini urafiki na "wanamageuzi"?

  Kwa muda mrefu nafahamu kuwa wewe ni mmoja wa wanaofaidika na mfumo??

  Nakuomba sana umwache Dr. W. Slaa na wanamageuzi waendelee na kuleta "mabadiliko" na kuna siku utakuwa "revealed"!

  Acha kupotosha UMMA kwa kujiita "Friends" wakati si kweli

  Msalimie Kaka yako na Dada yako - wanafahamu vizuri "state house"!
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Msanii

  Shy as the name "connote" is against "the change" - kuna thread nyingi alianzisha Mr "digital and IT consultant" kuhusu Dr. W.Slaa na politics za mageuzi in general lakini ukisoma kwa makini MS na Shy they have got so many common "characters"!

  Hamna cha "good" idea wala nini - He is part of the "system" - ila anasahau kuwa hata Mabutu Seseko alifia "in exile"!
   
 12. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Shy,

  Sina imani nawewe kaka, na nakuona uko kimaslahi zaidi ....nakuchukulia sawa na mmbwa mwitu kuwa kwenye kundi la wanyama wapole kama vile pundamilia. Jirekebishe bro, unatumika kudhoofisha demokrasia pasipo kujua ya kwamba kuna mamilioni ya watanzania walio nyuma ya Dr. W P Slaa wakisubiri mwongozo wenye kuleta mabadiliko ya kweli.
   
 13. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  fisadi
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  Vizuri sana
   
 15. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  thanks
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Michango hapa jamvini inakunyooshea kidole cha kusutwa. Kama wewe ni kweli unanyooshewa kidole kiasi hicho na umefikia kupenetrate kiasi jicho kwenye mikakati ya kidemokrasia Please search your soul and conscious and review your stance. Sorry may be you have no choice but you have conscious
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Labda kabadilika....
   
Loading...