Ziara ya KM wa CCM W. Mukama Kanda ya Ziwa: Matukio na Yatokanayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ziara ya KM wa CCM W. Mukama Kanda ya Ziwa: Matukio na Yatokanayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, May 16, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Akiwa katika ziara yake ya kichama na 'kujitambulisha' kwa wana-CCM wa Mkoa wa Mara,Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mkama ameahidi kuwafukuza wafanyabiashara wote walio ndani ya chama hicho.Kwa jinsi CCM ilivyojaa wafanyabiashara kila kona,wachambuzi wa mambo wanasema kuwa Mkama amepanga kutimua wanachama wote wa CCM.Mfa maji......................
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Ahh!,waache wafu wazike wafu wao.
   
 3. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Aaanze na baba Ridh1 na Mwanawe kama anaubavu hilo zee nalo pia ni vuvuzela la mafisadi
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo la CCM ni kwamba wamebobea katika kutumia maneno ya kawaida lakini wakayapa maana tofauti na ilivyozoeleka; kwa mfano ili neno mfanyabiashara ikichukuliwa kwa maana iliyozoeleka hata Mkama mwenyewe ni mfanya biashara, tena mkubwa. Kusema ukweli, hakuna yeyote miongoni mwa viongozi wa juu wa CCM asiyekuwa mfanya biashara. Mara ngapi hapa jamvini panatolewa madai ya kwamba JK anamiliki baadhi ya hoteli kwenye mbuga za wanyama. Katika hali hiyo Mkama anao ubavu wa kuwawajibisha mabosi wake. Tutake tusitake, kwasasa hawezekani ukatenganisha CCM na wafanya biashara kwani ni chanda na pete; ndiyo maana, hata sheria ya kutenganisha uongozi na biashara imekuwa ikipigwa danadana.
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nani maavi kweli kweli huyu mjomba anaongelea ushuzi tu hakuna kitu km hicho namsikitikia watakavyomkolimba kolimnba
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Khaaaaaa
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,841
  Trophy Points: 280
  ni muongoo na hawezi labda wamfukuze yeye
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Source please!!!!!
   
 9. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Atasema baadae,"I was misquoted",... "taken out of the context". Viongozi wetu wa ccm ni kawaida yao kusema kitu kingine na kutekeleza kitu kingine!!!
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  angeanza na RA kwanza kama mweli mwanaume wa shoka.
   
 11. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hivi huyo katibu wa ccm ni Mukama ama Mkama. Maana haya majina bwana ni tofauti sana
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  nasubiri siku atakapokuja kujitambulisha mitaa ya kisutu aseme maneno hayo.

  labda kama anamaanisha wafanyabiashara aina ya mama-ntilie
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Aaanze na mwenyekiti wake kwanza..
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Unataka chill source au tomato source?
   
 15. m

  matawi JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Magamba wameruka mkojo wamekanyaga mavi. Mbona nahisi heri ya makamba tena. Uwiiiii
   
 16. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Huo ujinga wake akajaribu kuusemea kariakoo aone.
  Ila hakawii kusema nimenukuliwa vibaya.
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Ana maana ya wamachinga na mama ntilie ni vijana hawaisupport ccm!sea cliff ya karume, aanze nao kwanza
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe teheeeeh!!
   
 19. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii 'mjibu mpumbavu kutokana na upumbavu wake'
   
 20. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni mkakati mwingine wa kuvuana magamba kwani ule wa Dom wa kujitoa wenyewe umeshindikana. Lengo ni wale wale watatu.

  Lakini kama Mukama anadhamira kweli kuwafukuza wafanyabiashara kutoka CCM basi lazima na wengine wafukuzwe pia.

  Hebu tuijenge hiyo orodha:

  !. Rostam aziz
  2. E. Lowassa
  3. A. Chenge
  4. Abood wa morogoro
  5. H. Sumry wa Sumbawanga
  6. C. Gachuma
  7. Lau Masha
  6. A. Diallo
  8. A. Mengi
  9. M. Gulam (METL)
  10. H. Kagasheki
  11. Y. Manji
  12. Samuel Sitta.......
  13. T Somaiya
  14. Subhash Patel
  ......................
  ........................

  Wote hawa na wengineo wakiondoka CCM, chama hicho kitabaki mfu.
   
Loading...