Ziara ya Kinana mkoani Geita ina kampeni ndani yake

Mzalauliwa

Member
Jul 31, 2014
89
30
Katibu mkuu wa CCM bwana Abdulahman Kinana hivi punde anatarajiwa kuwasili jimbo la Busanda kata ya Nyarugusu mkoani Geita,hiyo ikiwa ni miongoni wa ziara yake katika mikoa ya ukanda huu.

Agenda kubwa ni kutaka kufungua eneo lenye dhahabu nyingi stamiko ambako wachimbaji wadogo wadogo walipokuwa wakitafuta riziki zao.

Ikumbukwe kuwa eneo hilo lilisababisha mauji baada ya kuzuiliwa kuchimbwa likiorodheswa kuwa ni mali ya mwekezaji,

Angalizo asiliimia kubwa ya wakazi wa hapa ni wachimbaji,na mda wa kujiandikisha umefika sasa je

Hii si ni kampeni ya kutaka watu wasahau wajibu wa haki zao na kukimbilia kuchimba na kucha kujiandikisha.

Msaada jamani wanajamvi.
 
Katibu mkuu wa ccm bwana abdulahman kinana hivi punde anatarajiwa kuwasili jimbo la busanda kata ya nyarugusu mkoani geita,hiyo ikiwa ni miongoni wa ziara yake,
Katika mikoa ya ukanda huu.
Agenda kubwa ni kutaka kufungua eneo lenye dhahabu nyingi stamiko ambako wachimbaji wadogo wadogo walipokua wakitafuta riziki zao.

Ikumbukwe kuwa eneo hilo lilisababisha mauji baada ya kuzuiliwa kuchimbwa likiorodheswa kuwa ni mali ya mwekezaji,

Angalizo asiliimia kubwa ya wakazi wa hapa ni wachimbaji,na mda wa kujiandikisha umefika sasa je

Hii si ni kampeni ya kutaka watu wasahau wajibu wa haki zao na kukimbilia kuchimba na kucha kujiandikisha,
Msaada jamani wana jamvi.
Siku nyingine fanya hivi, ukiamka asubuhi kwanza piga mswaki, kisha kunywa chai (sio viroba)kisha tuma post yako ukiwa timamu.
 
Siku nyingine fanya hivi, ukiamka asubuhi kwanza piga mswaki, kisha kunywa chai (sio viroba)kisha tuma post yako ukiwa timamu.

Muache ni mwanetu mzalendo anahisia safi. Wewe ndo una kivuli cha viroba ila yeye kaliona wewe bado.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom