Ziara ya kinana geita

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
KINANA kuhakikisha ilani ya uchaguzi ya CCM inatekelezwa kabla ya 2015.Katika ziara yake ya Geita ambayo wananchi wameonekana kufarijika jinsi mfumo wa siasa wa CCM ulivyo mzuri. Kusikilizwa na kusaidiwa kwa wananchi hasa wachimba madini wadogowadogo ndio imekuwa sifa kubwa ya CCM hapo Geita.
 
Attachments

  • 1 (1).jpg
    1 (1).jpg
    305.9 KB · Views: 55
  • A. Kinana akikabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu,Geita, leseni 21 zimetolewa.jpg
    A. Kinana akikabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu,Geita, leseni 21 zimetolewa.jpg
    182.9 KB · Views: 81
  • B. Nape akizindua shina la wajasiriamali watengeneza fenicha, Katoro, Geita.jpg
    B. Nape akizindua shina la wajasiriamali watengeneza fenicha, Katoro, Geita.jpg
    91.3 KB · Views: 54
  • D. Nape akiwasalimia machinga  Katoro, Geita.jpg
    D. Nape akiwasalimia machinga Katoro, Geita.jpg
    241 KB · Views: 82
Kufarijika bila kuwatekelezea kero zao ni ujinga tu na hizi ndizo mbinu za CCM katika kuwahadaa wananchi kila siku kwa kuwafariji,kwa hakika CCM imechelewa sana maana 2015 ikifika hakuna ambalo litakuwa limetekelezwa.
 
Hebu angalia huyo Chinga anaesalimiana na Nape alivyo na hasira.

Hata sijui alikuwa anamuwazia nini hapo, sijui alikuwa anasema haka kajamaa nako hakana account Uswis, au hawa wauza pembe za Ndovu wamefuata nini huku, au bila nyinyi kututia umasikini labda saa hizi nisingekuwa chinga.View attachment 72266
 
Ccm imechelewa sana,,wananchi wanataka kero zao zitatuliwe,hawataki longolongo hivi sasa!
 
Hebu angalia huyo Chinga anaesalimiana na Nape alivyo na hasira.

Hata sijui alikuwa anamuwazia nini hapo, sijui alikuwa anasema haka kajamaa nako hakana account Uswis, au hawa wauza pembe za Ndovu wamefuata nini huku, au bila nyinyi kututia umasikini labda saa hizi nisingekuwa chinga.View attachment 72266

Sioni uhusiano wa CCM (Nape) na Huyo kijana aliyevaa kanda mbili!
 
Back
Top Bottom