Ziara ya dr. Slaa Kigoma wanahabari wanapotosha ukweli

ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
23
Katika uzi uliopostiwa jana na mtu mwenye ID ya molemo, ulikuwa na kichwa cha habari DR SLAA ATINGISHA KIGOMA KASKAZINI ilipostiwa picha iliyoelezewa kuwa ni ya Kijijini Nyarubanda Kigoma Kaskazini,ili kupinga uvumi ulioenea kuwa Dr slaa alikosa watu wa kutosha kutokana na upinzani wa kupinga ziara yake jimboni humo.

Picha hii na maelezo mengineyo inaelezewa katika post hiyo kuwa ni kutoka chanzo cha habari Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene, siamini kama Kurugenzi ya Habari CHADEMA wanaweza wakawa na propaganda kama za CCM, nianomba maelezo kwa sababu zifuatazo.

Hapo katika picha ni KASULU MJINI VIWANJA VYA KIGANAMO PRIMARY SCHOOL sio Nyarubanda. Asanteni
 
Attachments

  • UCHAKACHUZI.doc
    499 KB · Views: 668
clip_image002.jpg
 
Katika uzi uliopostiwa jana na mtu mwenye ID ya molemo, ulikuwa na kichwa cha habari DR SLAA ATINGISHA KIGOMA KASKAZINI ilipostiwa picha iliyoelezewa kuwa ni ya Kijijini Nyarubanda Kigoma Kaskazini,ili kupinga uvumi ulioenea kuwa Dr slaa alikosa watu wa kutosha kutokana na upinzani wa kupinga ziara yake jimboni humo. Picha hii na maelezo mengineyo inaelezewa katika post hiyo kuwa ni kutoka chanzo cha habari Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene, siamini kama Kurugenzi ya Habari CHADEMA wanaweza wakawa na propaganda kama za CCM, nianomba maelezo kwa sababu zifuatazo. Hapo katika picha ni KASULU MJINI VIWANJA VYA KIGANAMO PRIMARY SCHOOL sio Nyarubanda. Asanteni
"People tend to be generous when sharing their nonsense, fear, and ignorance. (Steve Maraboli).
 
Katika uzi uliopostiwa jana na mtu mwenye ID ya molemo, ulikuwa na kichwa cha habari DR SLAA ATINGISHA KIGOMA KASKAZINI ilipostiwa picha iliyoelezewa kuwa ni ya Kijijini Nyarubanda Kigoma Kaskazini,ili kupinga uvumi ulioenea kuwa Dr slaa alikosa watu wa kutosha kutokana na upinzani wa kupinga ziara yake jimboni humo. Picha hii na maelezo mengineyo inaelezewa katika post hiyo kuwa ni kutoka chanzo cha habari Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene, siamini kama Kurugenzi ya Habari CHADEMA wanaweza wakawa na propaganda kama za CCM, nianomba maelezo kwa sababu zifuatazo. Hapo katika picha ni KASULU MJINI VIWANJA VYA KIGANAMO PRIMARY SCHOOL sio Nyarubanda. Asanteni
Lakini hiyo picha si imepigwa kigoma na siyo karatu kama maccm walivyokuwa wanasema?
 
Molemo ni muumini wa uongo, uzushi na propaganda za kitoto. Watu kama hawa wanasaidia sana kuididimiza CDM.
 
Last edited by a moderator:
nyie watu hatari sana....
mbona mlisema mkutano wa Dr ulidorora kasulu sasa huu umati umetoka wapi tena?

poor you
 
Dada angu Rose acha hasira sisi wote ni wanachadema! Kasulu mkutano haukudoda isipokuwa ulikumbwa na ghasia zilizopelekea mkutano kuvunjika. Na kwa sisi wenyeji ukiambiwa umedoda imefananishwa na iliyotangulia japo si kudoda kivile wasemavyo maccm.
 
nyie watu hatari sana....
mbona mlisema mkutano wa Dr ulidorora kasulu sasa huu umati umetoka wapi tena?

poor you

Hata mm nawashangaa sana hawa CCM!
Walitumbia Kasulu Dr Slaa mkutano wake ulidoda lkn leo wanakubali kuwa Kasulu Dr alipata watu wengi sana lkn eti Kigoma Kaskazini ndiyo ulidoda!

Taswira na wenzako tushile lipi sasa?Njaa mbaya sana
 
Last edited by a moderator:
Katika uzi uliopostiwa jana na mtu mwenye ID ya molemo, ulikuwa na kichwa cha habari DR SLAA ATINGISHA KIGOMA KASKAZINI ilipostiwa picha iliyoelezewa kuwa ni ya Kijijini Nyarubanda Kigoma Kaskazini,ili kupinga uvumi ulioenea kuwa Dr slaa alikosa watu wa kutosha kutokana na upinzani wa kupinga ziara yake jimboni humo.

Picha hii na maelezo mengineyo inaelezewa katika post hiyo kuwa ni kutoka chanzo cha habari Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene, siamini kama Kurugenzi ya Habari CHADEMA wanaweza wakawa na propaganda kama za CCM, nianomba maelezo kwa sababu zifuatazo.

Hapo katika picha ni KASULU MJINI VIWANJA VYA KIGANAMO PRIMARY SCHOOL sio Nyarubanda. Asanteni

Dr%20Willbroad%20Slaa-Dec11-2013.jpg
 
Lakini hiyo picha si imepigwa kigoma na siyo karatu kama maccm walivyokuwa wanasema?

unapoulizwa mbili jumlisha mbili ni ngapi, ukisena tatu ni uongo haijalishi kuwa tatu ipo karibu sana na jibu sahihi yaani nne! Kasulu ni Jimbo jingine na mwandishi anasema picha hiyo ni Kgm Kaskazini Kijijini Nyarubanda kabla mvua haijanyesha.
 
Dah! Nguvu kazi ya taifa inateketea kwa kuendekeza majungu ! Wewe unamwakilisha nani ?
 
Nilikuwa na mtazamo tofauti juu ya dr.slaa lkn jinsi alivyothubutu kuyafanya huko Kigoma naanza kufikiri vinginevyo
 
Back
Top Bottom