ISMAIL MKIMBIZI
Senior Member
- Jan 13, 2013
- 192
- 23
Katika uzi uliopostiwa jana na mtu mwenye ID ya molemo, ulikuwa na kichwa cha habari DR SLAA ATINGISHA KIGOMA KASKAZINI ilipostiwa picha iliyoelezewa kuwa ni ya Kijijini Nyarubanda Kigoma Kaskazini,ili kupinga uvumi ulioenea kuwa Dr slaa alikosa watu wa kutosha kutokana na upinzani wa kupinga ziara yake jimboni humo.
Picha hii na maelezo mengineyo inaelezewa katika post hiyo kuwa ni kutoka chanzo cha habari Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene, siamini kama Kurugenzi ya Habari CHADEMA wanaweza wakawa na propaganda kama za CCM, nianomba maelezo kwa sababu zifuatazo.
Hapo katika picha ni KASULU MJINI VIWANJA VYA KIGANAMO PRIMARY SCHOOL sio Nyarubanda. Asanteni