Ziara ya DR Bilal Philips nchini Tanzania

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
ZIARA YA DR. BILAL PHILIPS NCHINI TANZANIA

Dr. Bilal Philips (Dr. Abu Ameenah Bilal Philips) mzaliwa wa Jamaica na raia wa Canada atawasili Dar es Salaam, Tanzania, Ijumaa ya Desemba 17, 2010.

Dr. Bilal amealikwa na Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wataalam wa Kiislamu Tanzania (TAMPRO). Madhumuni ya ziara ya Dr. Bilal ni kufanya kazi ya Daw’ah kuanzia Desemba, 17 mpaka 24, 2010, katika jiji la Dar es Salaam, Morogoro mjini na Zanzibar (Unguja).

Watanzania wa makundi mbalimbali wanakaribishwa kuhudhuria mikutano mikuu kama inavyoelezwa hapo juu.
 
Dr_Bilal.jpg
 
... bora mpewe perspective ya kimagharibi, maana tz tuiga waarabu na wapersia .
 
Huyu si ndiye alitimuliwa nchini Kenya akituhumiwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi?
 
Huyu si ndiye alitimuliwa nchini Kenya akituhumiwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi?

Dr.Bilal Philips is well respected Islamic Scholar.

Sio huyu. Faisal ndo alituhumiwa.
 
UISLAM HAUNA UHUSIANO WOWOTE NA UGAIDI....ILA magaidi wamejificha nyuma ya uislam na kuichafua dini hii kongwe...NI MAONI YANGU TUU NA MIMI SIO WALA SINA IM ANI YA KIISLAM
Unadhania hivyo au una uhakika kuwa ni hivyo?
 
Back
Top Bottom