Ziara ya Canada (kutalii) yayeyuka - Serikali ya Steven Harper yaangushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ziara ya Canada (kutalii) yayeyuka - Serikali ya Steven Harper yaangushwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DoubleOSeven, Mar 26, 2011.

 1. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ule mkutano kuhusu "Information and Accountability for Women and children" uliolengwa kufanyika Canada mwezi Mei na hapo kuunganisha ziara ya kiserikali ya Vigogo wa nji hii umeyeyuka hadi kieleweke baada ya serikali ya bwana Harper kupigwa chali jana. Ikumbukwe kuwa makampuni makubwa ya Canada yamewekeza sana hapa njini kwenye madini.

  Sasa tukatalii wapi?


  Stephen Harper Government in Canada falls after no-confidence vote

  Ottawa, Mar.26 (ANI): Canadian Prime Minister Stephen Harper's government has fallen after a no confidence vote was passed in the country's parliament.
  Opposition parties accused the Conservative Government of failing to disclose the full financial details of its tougher crime legislation, corporate tax cuts and plans to buy stealth fighter jets.
  The vote engineered by the opposition Liberal Party and backed by two other opposition parties, stemmed from a ruling on Monday that the administration was in contempt of parliament.
  However, the Conservatives are likely to be back in power after an election in May, The BBC reports.
  Harper's Conservative Party holds 145 of the 308 seats in the dissolving parliament and is likely to win the poll, expected on 2 May, but without a majority he will still be dependent on opposition votes in parliament.
  After the confidence vote, Harper said he suspected the forthcoming federal election, the country's fourth in seven years, would "disappoint" most Canadians.
  He said he and Conservative MPs would remain focused on nurturing Canada's economic recovery.
  Liberal Party leader, Michael Ignatieff hailed the "historic moment" and pledged to prioritise healthcare, education and care for the elderly.
  "We want to form an alternative to the Harper government that respects democracy, that respects our institutions, that respects Canadian citizens," he said.
  source: (ANI)
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa wale waliokwisha chukua advance na kupanga vimada watangulie je??

  Daym!! hivi hawawezi kufanyafanya mambo aisee jamaa zetu wa serikalini japo waende tu kuzungukazunguka na kuona jinsi kura zilivyopigwa??

  ulaji huo umeponyoka mwanangu
   
 3. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Kwa wenzetu kuanguka au kubadilisha serikali hakuathiri utendaji wa shughuli zilizoshakubaliwa au kupitishwa unless pawepo na mabadiliko ya sheria
   
 4. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... wrong! Uenyekiti wa kamati hiyo ya "Information and Accountability for Women and Children" ni wa Prime Minister wa Canada na mwenzake.
  Kwa hiyo, ni mpaka apatikane Waziri Mkuu mwingine. Hata shughuli za mambo ya Kilimo kwanza ambayo yangeenda sambamba na UTALII huo inabidi yasubiri hadi kieleweke huko.

  It is ironic if not comical. Wao wanajichotea mabilioni ya dola through madini, halafu sisi tunaenda na libakuli, ki-Matonya tupewe crumbs. Unauza ngombe wa maziwa ili upate uwezo wa kununua kifaranga.
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  vote ya no confidence bungeni haiwezi kumwondoa Harper madarakani na nakuhakikishia Conservative watashinda tena uchaguzi kwa sababu Liberal wameisha poteza umaarufu na Majimbo mengi sana kutokana na chama hicho kutokuwa na kiongozi shupavu,kiburi na mbunifu kama waliopita...
   
Loading...